Safi sana.Wakuu njooni.....Kuna mtu hapendi kuishi nyumba safi nzuri na salama???
Nyumba ni nyumba hata iwe chumba cha kupanga. [emoji2][emoji2]
Binafsi huwa naandaa Hometips zinazogusa nje nandani ya nyumba.
Sittingroom, kitchen area, Washrooms/Maliwato, Bedroom.
Basi karibuni nitakua naziweka hapa pia kama unayo unaweza kushare tukajifunza wote.
NAWEZAJE KUFANYA CHUMBA KIDOGO KIONEKANE KIKUBWA???
1.Paint and Color
Dark na bright light colours hufanya chumba kionekane kikubwa zaidi.
Ukihitaji wallpaper, tumia horizontal stripes kufanya kuta zionekane ndefu kwenda nani zaidi na vertical stripes kufanya zionekane ndefu kwenda juu.
2.Furniture
Usiweke zikagusa ukutani kabisa acha nafasi kati ya ukuta na furniture zako kwa zile fupi eg: sofa sets
Kwa furniture ndefu ziweke kuegemea ukuta. [emoji848] makabati
3.Lighting
Natural light inahitajika sana kukuza muonekano wa room yako basi weka pazia zenye rangi neutral ama nyepesi kuruhusu mwanga zaidi
Unaweza ongeza taa ndani ya chumba usitege mwangaza kutoka chanzo kimoja pekee.
Tumia bedsidelamps Floorlamps ama wall lamps [zipo #dollrubiidecors]
4.Mirrors
Ongeza vioo kwa kuta zako
5.Decorations and Artwork
Matumizi sahihi ya decorations za ndani huweza kusaidia kukuza muonekano wa nyumba yako.
Go with one big art work kwenye ukuta wako na inatosha kuliko kuweka vipicha vingi vingi
6.Reduce Clutter
Punguza vitu visivyokua na matumizi katika uso wako.
Sio uvitupe la! [emoji2]
Tafuta njia sahihi ya kuvitunza
Mfano DECOR Baskets DecorBoxes Storage bench
Huko unaweza tunza vitabu magazeti pillows blankets
IMEANDALIWA NA #DOLLRUBII_DECORS 0673485081
Kwa dondoo za nyumba zetu
HOMETIPS KILA SIKU
WHATSAPPGROUP
INSTAGRAM @dollrubii_decors
Kwa mahitaji ya Furnitures, Home decors Appliances na kitchen utensils
View attachment 2566031View attachment 2566033View attachment 2566034View attachment 2566032
Dah...safi sana....nimeipenda hii....ila kidogo umenichanganya kwenye dark and bright colours....pamoja na natural light....ndiyo zipi mkuu?Wakuu njooni.....Kuna mtu hapendi kuishi nyumba safi nzuri na salama???
Nyumba ni nyumba hata iwe chumba cha kupanga. ππ
Binafsi huwa naandaa Hometips zinazogusa nje nandani ya nyumba.
Sittingroom, kitchen area, Washrooms/Maliwato, Bedroom.
Basi karibuni nitakua naziweka hapa pia kama unayo unaweza kushare tukajifunza wote.
NAWEZAJE KUFANYA CHUMBA KIDOGO KIONEKANE KIKUBWA???
1.Paint and Color
Dark na bright light colours hufanya chumba kionekane kikubwa zaidi.
Ukihitaji wallpaper, tumia horizontal stripes kufanya kuta zionekane ndefu kwenda nani zaidi na vertical stripes kufanya zionekane ndefu kwenda juu.
2.Furniture
Usiweke zikagusa ukutani kabisa acha nafasi kati ya ukuta na furniture zako kwa zile fupi eg: sofa sets
Kwa furniture ndefu ziweke kuegemea ukuta. π€ makabati
3.Lighting
Natural light inahitajika sana kukuza muonekano wa room yako basi weka pazia zenye rangi neutral ama nyepesi kuruhusu mwanga zaidi
Unaweza ongeza taa ndani ya chumba usitege mwangaza kutoka chanzo kimoja pekee.
Tumia bedsidelamps Floorlamps ama wall lamps [zipo #dollrubiidecors]
4.Mirrors
Ongeza vioo kwa kuta zako
5.Decorations and Artwork
Matumizi sahihi ya decorations za ndani huweza kusaidia kukuza muonekano wa nyumba yako.
Go with one big art work kwenye ukuta wako na inatosha kuliko kuweka vipicha vingi vingi
6.Reduce Clutter
Punguza vitu visivyokua na matumizi katika uso wako.
Sio uvitupe la! π
Tafuta njia sahihi ya kuvitunza
Mfano DECOR Baskets DecorBoxes Storage bench
Huko unaweza tunza vitabu magazeti pillows blankets
IMEANDALIWA NA #DOLLRUBII_DECORS 0673485081
Kwa dondoo za nyumba zetu
HOMETIPS KILA SIKU
WHATSAPPGROUP
INSTAGRAM @dollrubii_decors
Kwa mahitaji ya Furnitures, Home decors Appliances na kitchen utensils
View attachment 2566031View attachment 2566033View attachment 2566034View attachment 2566032
Hellow darling natural light nimemaanisha mwanga halisi wa juaDah...safi sana....nimeipenda hii....ila kidogo umenichanganya kwenye dark and bright colours....pamoja na natural light....ndiyo zipi mkuu?
Wewe si tayari umejenga jumba lenye vyumba vya 5Γ5 π€£π€£π€£Kwahiyo ina maana chumba cha mita mbili unaweza kukifanya kikaonekana ni cha mita 5 kwa 5 ama mimi mnyiramba sijaelewa [emoji276]?
Anajenga boonge la nyumba atakuja hapa ππ π kumbeee
Wewe si tayari umejenga jumba lenye vyumba vya 5Γ5 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]