Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
lisemwalo lipo, naona kila mmoja hapa anawaelekeza kwenye rushwa.hii thread ilivyovamiwa hadi nimeogopa..sasa hayo mafisadi yanayomiliki hoteli na kubadilisha majian kila siku mnayafanya nini nao? au nyie ndio kama CBE
hapo kwenye red yaweza kuwa sawa mkuu lakini kuna makampuni makubwa yaliyo na facilities kubwa mara hata kumi zaidi ya hizo na wamekuwa kwenye biashara ya mizigo tena kwa muda mrefu lakini mbona hawasemwi semwi!! ...au ndio ile slogan ya "it is our time to eat"!?HSC wamejipanga vizuri wala hamna mkono wa mkubwa pale. Wana ofisi huko China na wanasafirisha in bulk kwa hiyo garama zinapungua. Jamaa kwa kweli wamejipanga..ila hilo la mkubwa nimekuwa nikiona kwa any successfull business lazima mkubwa ahusishwe..