Home of Excellency: SUA Vs UDSM

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Umesema kweli,ila wacha nikuongezee!Haya ni majadiliano yanayohusisha kidato cha sita pamoja na mwaka wa kwanza!
Hehee mi ndio maana madogo yakinipigia simu kuniuliza chuo nayaambia yakasome chochote tu...fainali ukimaliza chuo...watu wanachanel.zao ajira kugusa tu
 
Hawa vijana hawajielewi kozi kribia nyingi za SUA hazipatikani udsm hivi utalinganishaje

Mtu kasoma cbe kama anataka veterinary ni SUA tu Hakuna option
Mkuu wasamehe vijana wetu..ndio aina ya kizazi cha sasa ambacho hata kujua unafanya comparison ya variables zisizo shabihiana hawagundui...ni kama unafananisha maembe na machungwa!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…