Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kweli , watu wanapenda ligi za kijinga jinga tu.Watu wanajibu humu kama alokatwa kichwa. Sua ni chuo chenye kozi za kilimo, mifugo na science za wanyama. Udsm kina kozi zake pia. Qualifications za kuingia kwenye hivi vyuo ni harmonized. . Anayetaka kusoma udaktari wa mifugo hata akiwa na one ya 5 points ataenda sua. Anayetaka kusoma electrical engineering ataenda Udsm. Ushabiki wa kijinga tupa kuleer
Unamiaka mingapi jombaa?Hapo katika point zote sua itashinda namba 8. Yaani simpo kujiunga. Sua wanaendaga madiv two ya mwisho na ma three.
Kwanini?wewe mleta mada umefanya nini??
Umesema kweli,ila wacha nikuongezee!Haya ni majadiliano yanayohusisha kidato cha sita pamoja na mwaka wa kwanza!Huu ubshi huwa wakifirst year...ukimaliza chuo hakuna cha jina la chuo mamaaaeee...wote mnategemea ajira na kazin unakuta vijana wenzako wanaolipwa pesa nying sio wa vyuo jina na ww mweny jina n kenge tu....hii inaniuma sana na nikiona discussion kama hizi nakereka sana