Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
- Thread starter
- #1,901
AC Milan vice-president Adriano Galliani has claimed that the chances of Carlo Ancelotti returning to the club are 50/50.
ivi carlo anceloti hawezi rudi ac milan kuja kuokoa jahazi
ivi carlo anceloti hawezi rudi ac milan kuja kuokoa jahazi
hilo jahazi lishazama mkuu, subiri msimu ujao mzidi kushuka.
hahaha acha hizo wewe,wivu waspain wanajua,piga hesabu barca wana makombe mangapi ya kimataifa...kisha Milan ana mangapi ya kimataifa.
wacha bla blaa
hahaha acha hizo wewe,wivu waspain wanajua,