ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 217
Kuna tv set ndogo mbili kila moja ina deki yake bei laki na ishirini kila moja,pamoja na friji kubwa milango miwili ina freezer juu na cooler kwa chini inauzwa laki tatu na nusu kama utahitaji kuviona vitu PM AU piga namba 0757565551
Mkuu za wizi au unafanya udalali? Weka picha zake basi
hiyo fridge ni aina gani?.
tv brand gani? nch ngapi? crt au lcd/led?Kuna tv set ndogo mbili kila moja ina deki yake bei laki na ishirini kila moja,pamoja na friji kubwa milango miwili ina freezer juu na cooler kwa chini inauzwa laki tatu na nusu kama utahitaji kuviona vitu PM AU piga namba 0757565551
tv brand gani? nch ngapi? crt au lcd/led?
friji brand gani? ulinunua mpya au ulinunua used?
Mi nipo tukuyu mbeya nicall 0658778963 ili uniletee nivicheki kama nikivipenda naweza kununua
tv ni chogo au lcd? tv ni nchi ngapi?friji ni arctis ilinunuliwa mpya,tv na deki ni panasonic nazo zilinunuliwa mpya
model gani?friji ni arctis ilinunuliwa mpya,tv na deki ni panasonic nazo zilinunuliwa mpya
tv ni chogo au lcd? tv ni nchi ngapi?
Mi nipo tukuyu mbeya nicall 0658778963 ili uniletee nivicheki kama nikivipenda naweza kununua