Home appliance zinauzwa

ilisha juniour

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
714
217
Kuna tv set ndogo mbili kila moja ina deki yake bei laki na ishirini kila moja,pamoja na friji kubwa milango miwili ina freezer juu na cooler kwa chini inauzwa laki tatu na nusu kama utahitaji kuviona vitu PM AU piga namba 0757565551
 
Hongera, bila shaka hizi ni jitihada za kuji"modernize"

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kuna tv set ndogo mbili kila moja ina deki yake bei laki na ishirini kila moja,pamoja na friji kubwa milango miwili ina freezer juu na cooler kwa chini inauzwa laki tatu na nusu kama utahitaji kuviona vitu PM AU piga namba 0757565551

Mkuu za wizi au unafanya udalali? Weka picha zake basi
 
natumia simu haina uwezo mkubwa wa ku upload picha,hakuna kitu cha wizi ukitaka risiti zake utapewa kama wewe ni serious buyer simu hiyo hapo juu umewekea piga utaelekezwa mahali vitu vilipo uone kwa macho yako
 
Kuna tv set ndogo mbili kila moja ina deki yake bei laki na ishirini kila moja,pamoja na friji kubwa milango miwili ina freezer juu na cooler kwa chini inauzwa laki tatu na nusu kama utahitaji kuviona vitu PM AU piga namba 0757565551
tv brand gani? nch ngapi? crt au lcd/led?

friji brand gani? ulinunua mpya au ulinunua used?
 
Mi nipo tukuyu mbeya nicall 0658778963 ili uniletee nivicheki kama nikivipenda naweza kununua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom