Mmoja hapo anachapiwa hajitambui
Tafsiri halisi ya picha huja baada ya kitambo na baada ya matukio fulani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Khalid Kangengezi mbaya sana.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tatizo polofesa alichukua mshiko mdogo sasa umekata anaanza kuhangika, mwenzie wa kula mihogo alidai pande reeeefu mpaka leo hii anakula bata ubatani.
Mkuu mbona nasikia walichezewa Offside ya kufa mtu...polefesa na padri.....mpunga uliingizwa kabisa kwa account wakaona na bank statement baada ya kutangaza tu kurudi kuvuta kweupe..........tiss at its bestTatizo polofesa alichukua mshiko mdogo sasa umekata anaanza kuhangika, mwenzie wa kula mihogo alidai pande reeeefu mpaka leo hii anakula bata ubatani.