Homa ya Nguruwe yatangazwa Songea

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,555
Daktari wa mifugo wa manispaa ya Songea Dr. Serina Masole amethibitisha kuwepo kwa homa ya Nguruwe katika manispaa hiyo ambapo amepiga marufuku usafirishaji wa Nguruwe au nyama ya Nguruwe kutoka eneo moja kwenda eneo lingine.

IMG_7047.jpeg


Aidha Dr. Serina amesema kuwepo kwa homa hiyo ya Nguruwe hakuzuii watu kula nyama hiyo kwakuwa haina madhara kwa binadamu.

Chanzo: East Africa Radio
 
Back
Top Bottom