Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,180
- 829,142
Dunia iko mahututi kwa ushoga ugaidi na udini
Ukiangalia kwa haraka na bila kutafakari hutagundua chochote lakini dunia inaumwa inahitaji tiba na kirusi kikubwa ni binadamu
Hawa wanawatuhumu hawa kwa ushoga, nao wanawatuhumu wao kwa ugaidi halafu dini inaingizwa katikati mtifuano wa haja unatokea zinaangamia roho zisizo na hatia tunainajisi dunia tunatengeneza laana na maangamizi makubwa
Wale wanaowatuhumu wenzao kwa ugaidi ndo magaidi wakubwa kabisa ila wanafanya kwa siri Sio kwa uwazi na kujitangaza na wale wanaowatuhumu wenzao kwa ushoga ndio mahiri kabisa kwa vitendo hivyo sema tuu hawajitangazi na wanafanya kwa siri mno
Tunatumia jina la dini na Mwenyezi Mungu kuua kuharibu na kufanya mambo mabaya ! Ni wapi katika misahafu yetu tunafundishwa tufanye Haya??
Leo hii dini inatumika vibaya kabisa ukizungumzia ushoga dini ya upande fulani lazima ihusishwe, ukizungumzia ugaidi dini ya upande mwingine lazima ihusishwe basi inakuwa ni mtifuano tu lakini ukweli ni kwamba hakuna mshindi na hatakaa atokee
Ndani ya jukwaa hili ukiacha siasa mtifuano kejeli matusi na kashfa nyingi ziko kwenye mambo ya dini! Mbona tunakuwa wapumbavu kiasi hiki? Kwanini dini zetu zisiwe jambo la kutujenga na kutuunganisha? Kwa ni ni tutekwe kimawazo Kisa cha kumuona jirani yako ni adui eti tuu kwasababu ana dini tofauti na yako? HII NI HOMA YA DUNIA TUNAHITAJI KUTAFUTA TIBA LA SIVYO TUTAMALIZANA KWA UPUMBAVU WETU WENYEWE