Homa ya ATCL yawakumba Fastjet

Naona Mzee Shirima na Precision yake amekomaa kibishi.
Anawezeshwa na KQ ili awasaidie route za NBO-ZNZ, NBO-JRO, NBO-MWZ na NBO-DAR.....infact hata KQ wamebanwa mbavu na ET coz nao wamenunua Malawian Airlines (kuteka soko la Southern African countries) na ASKY (West Africa)...
**Pia Rwandair ni potential threat kwa route za ENTEBBE, LUSAKA na HARARE
 
Naona Mzee Shirima na Precision yake amekomaa kibishi.
Anawezeshwa na KQ ili awasaidie route za NBO-ZNZ, NBO-JRO, NBO-MWZ na NBO-DAR.....infact hata KQ wamebanwa mbavu na ET coz nao wamenunua Malawian Airlines (kuteka soko la Southern African countries) na ASKY (West Africa).
 
Anawezeshwa na KQ ili awasaidie route za NBO-ZNZ, NBO-JRO, NBO-MWZ na NBO-DAR.....infact hata KQ wamebanwa mbavu na ET coz nao wamenunua Malawian Airlines (kuteka soko la Southern African countries) na ASKY (West Africa)....
Mi nilidhani kwa kuwauzia zile 49% watakua wanamhujumu ili aje apotee kwny ramani halafu waingie mazima kwa kununua zile 51% maana kuna kipindi MD akiwa yule Mkenya hali ya precision ilikua ni tete balaa.

Ila points zako nimezielewa sana,zina make sense sana.
 
**MD wa sasa pia ni Mkenya. Rwandair nao ni potential threat kwa KQ kwa route za East and West Africa hasa Lagos. Pia Dubai
 
**MD wa sasa pia ni Mkenya. Rwandair nao ni potential threat kwa KQ kwa route za East and West Africa hasa Lagos. Pia Dubai
Thnxs for the info mkuu,nimeona Uganda,Burundi zinafufua mashirika yao ya ndege.

Hopefully zitaleta competition poa.
 
Thnxs for the info mkuu,nimeona Uganda,Burundi zinafufua mashirika yao ya ndege.

Hopefully zitaleta competition poa.
Ni kweli ila Uganda kitumbua kimeingia mchanga coz walitegemea pesa za msaada ama mkopo (sikumbuki vizuri)sasa wamezuia sijui kama itakwamisha au vipi.
**Kufufuliwa ATCL ni hatua kubwa japo watu wanakebehi la muhimu menejimenti iwe yenye weledi na uendeshaji wa mashirika ya ndege sio tu bora mtu tu mwenye PhD
 
VITA VYA PANZI NI FURAHA YA KUNGURU
 
Hahaha nilidhani homa ya mafua ya ndege, ni uze chanjo.
 
Thnxs for the info mkuu,nimeona Uganda,Burundi zinafufua mashirika yao ya ndege.

Hopefully zitaleta competition poa.
Uganda & Burundi kufufua itachukua muda maana sidhan kama wana pesa ya kuleta Madege kama yetu. Tutumie udhaifu wao kunufaika
 
ndege ikipita juu pungeni mikono juu. Ni zoezi zuri kwa viungo. Mi faida kwenu hii.
haaa..haaa.haaa.... unaakili sana na unauwezo mkubwa sana wakutumia fursa na ikaleta tija!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…