Ni kweli Mkuu.Ile vita coka walikuwa wamelala! Walivoshtuka tayari Pepsi wameshapiga sana hela na sokoni wamejiimarisha zaidi!
Ile vita haijawaacha coka salama, mpaka Leo bado wanasrago"
Ni ndugu lakini Pepsi walijiimarisha sana mitaani kwa tofauti ndogo tu ya shilingi mia.Hao ni ndugu wanacheza ngoma moja
Ni strategies za biashara
Kuwa ngapi tena ilhali ilishuka kutoka 2,500/= hadi 1,500/= !!!Hivi Serengeti Lite haijashuka bei?
Hapo watakuwa wameondoa lile punguzo la nauli. Keep it Up JPM.Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
98000 mkuuNimechek fastjet dar to kia 30/8 ni tsh 208,000# sijui dreamliner itakua ni sh.ngapi kama bado inaenda huko lkn.
Siku zote penye ushindani sie walaji wa chini ndo tunanufaika.Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
Msisahau kuagana na nyonga boss.Tunaruka kwa furaha
Aisee iko cheap,hapo fastjet lazima biashara akimbie aisee.98000 mkuu
Fastjet anaondoka punde...timing za route ya DAR-JRO ni kichekesho ukiachia bei juuAisee iko cheap,hapo fastjet lazima biashara akimbie aisee.
Naona Mzee Shirima na Precision yake amekomaa kibishi.Fastjet anaondoka punde