Homa imenizidia mie,
kutwa nashinda nalia,
jua linapochomoza machozi mie hunitoka
kisa alichonitenda $Rejao, sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mpenzi wangu ili nikaishi naye,
nimeachwa na mpenzi wangu, nimekwenda kwa $Rejao, baada ya muda si mrefu asema niondoke sina tabia nzuri ooh . X2
Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa x2
....Ndugu zangu mlio na wapenzi, jihadhari na wadanganyifu mkaachana na wapenzi wenu mtapotea
Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa x2
.....Nimesimama katikati ya njia panda, jua linazidi kuzama maaama mamamaaaa
*******************************************
Nimemkumbuka Anti yangu, aupenda sana huu wimbo wa Mlimani Park
Honestly, hiyo heading imenistua sana mpendwa. Si nikadhani mtu anaumwa yuko hoi bin taabani!!!
mmmh.... haya makubwa tena!!Reajo::::::::::::
unajidai uko bize?!
ukiwa unaufuatilia huo wimbo instead of rejao wewe weka Mphamvumtoe Rejao kwenye liriks zako tafadhali...
ukiwa unaufuatilia huo wimbo instead of rejao wewe weka Mphamvu
Homa imenizidia mie,
kutwa nashinda nalia,
jua linapochomoza machozi mie hunitoka
kisa alichonitenda $Rejao, sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mpenzi wangu ili nikaishi naye,
nimeachwa na mpenzi wangu, nimekwenda kwa $Rejao, baada ya muda si mrefu asema niondoke sina tabia nzuri ooh………………. X2
Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa …………x2
....Ndugu zangu mlio na wapenzi, jihadhari na wadanganyifu mkaachana na wapenzi wenu mtapotea………
Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa …………x2
.....Nimesimama katikati ya njia panda, jua linazidi kuzama…… maaama mamamaaaa……………
*******************************************
Nimemkumbuka Anti yangu, aupenda sana huu wimbo wa Mlimani Park
mmmh.... haya makubwa tena!!
Lol..kila siku hapa linaibuka jipya, hii inatufanya wengine hata tukilala tuwe tunaiota tu JF!Kuukumbatia mbuyu kazi, bora kuuzunguka
Na wewe sema "jf is never boring
mmmh mimi nimepita tu KUMBE WAISHI NA ZINDUNA KWANINI UNAMFUKUZA JAMANI?lol..kila siku hapa linaibuka jipya, hii inatufanya wengine hata tukilala tuwe tunaiota tu jf!