Holocaust Yaja

Kaka hueleweki unasimamia nini na unatushauri sawa, lakini tujue unasimamia nini ili tusimame ktk hicho unachokiamini. Kama ni imani ktk Mungu sema, kama ni science sema ili tufahamu
Hapa hujaeleweka vizuri
Sina mpango wa kushauri mtu humu kwani nakujua? Hili jukwaa la kutoa mawazo yako sio kupeana ushauri..ikitokea sawa
Hayo niliyoandika ni mawazo yangu
 
Acha ujinga huwezi kupunguza watu kwa kuwaua above 50 of age ambao hawana impact ktk uzao, ingekua ni kama unavyofikiri ujinga wako basi vaccination ingefanyika kwa infants
Huna facts yoyote wewe..jinsi unavoniita mjinga unajionyesha wewe u mjinga maradufu.
Nachokiona kwako ni jinsi ulivojiona mjibga na kupungukiwa ufahamu ulichobaki ni kubwabwaja kama juha.
Facts hupingwa kwa facts sio unabisha tu, that is the height of your ignorance!!
 
Acha ujinga huwezi kupunguza watu kwa kuwaua above 50 of age ambao hawana impact ktk uzao, ingekua ni kama unavyofikiri ujinga wako basi vaccination ingefanyika kwa infants
Mkuu amka,kwa sasa above 50 ndio target.Yes hawana uzao lakini as they say,they are "useless eaters!"Wanachukua pension,wanachafua mazingira and are non producers.Mtazamo wao ni kwamba anybody who remains on the planet must be beneficial to the planet.

Finally,nikufahamishe kwamba,swala la watoto kutochanja ni la muda tu.Tayari CNN and the Mockingbird Media,the mouth piece of the CIA and Anthony Fauci one Mr.Globals' front stooge ameshaanza kusema watoto wanapata Corona, na hawa wakishasema hivyo you,know what is at hand.
 
Kama lengo ni kupunguza idadi ya watu sa wao watapataje faida wakati wao wanatengeza bidhaa na service kwa ajili ya masoko na watu ndo masoko,Elon ana project nyingi zinazotegemea watu e.g magar,hyperloop project,space x nk. hizo zote zinahitaji watu ili wapate faida.chanjo haina madhara tusipotoshane.
 
Kagonge chanjo wewe acha woga wa sindano..
Eti holocaust.ubwege mtupu
Nshagonga mbili na ya tatu ikija nalamba vilevile
 
Ishu ni kwamba wanataka kufanya maisha yaende wanavotaka wao, kwa maana kwamba kupunguza watu na kubaki na wachache ambao wote ama asilimia kubwa watakuwa wanaendana na matakwa yao na kisha hao wachache kuanza kuijaza tena dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…