Holocaust Yaja

JF mkuu ilikuwa zamani,sasa hivi ni jukwaa la wana CCM tupu ,na Mods wengi humu ni makada wa CCM
 
Upo sahihi, nilimjibu muuliza swali
But any rigid belief whether political, science or religion is a mind controlling devices
 
Unachanganya sana maneno. Unasema wanataka tuwe 500 Milioni, na hapo hapo unasema wameruhusu watu waongezeke sababu nguvu kazi inapungua! Kipi ni kipi?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Unachanganya sana maneno. Unasema wanataka tuwe 500 Milioni, na hapo hapo unasema wameruhusu watu waongezeke sababu nguvu kazi inapungua! Kipi ni kipi?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Kwa nilivyomuelewa inapaswa kuwe na ratio ya 500ml kwa nchi zote. Maana yake huko kwenye campaign za kuongeza watu watu wanapungua sana kiasi labda baada ya muda idadi itakua ndogo mno hivyo uendeshaji wa nchi utakua mgumu kwa sababu nguvu kazi hamna kwa ukubwa unaoweza kusaidia serikali kuongoza nchi.

Hivyo basi ni ngumu kuwaamisha mamilion ya watu kwenda nchini humo ili kuongeza idadi.
 
Unachanganya sana maneno. Unasema wanataka tuwe 500 Milioni, na hapo hapo unasema wameruhusu watu waongezeke sababu nguvu kazi inapungua! Kipi ni kipi?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Don't have a rigid mind, Government imejaa gofers, puppets wa Illuminati, agenda inabakia pale pale, mara nyingi hawa jamaa ( from the shadow) wanakutana na resistance kwenye agenda zao. That why hupenda kupachika watu wao (insiders) ili ku impose their will upon the population, lakini agenda yao ipo pale pale from the inner core. Remember most pure illuminatti au not people, but are reptilians humanoid dictating the will of their Masters. REAL power is in the shadow.
Download kitu inaitwa Emeralds of Thoth upate angalau picha kidogo.
 
Gov imejaa puppet wa illuminati





Akili yako imejaa utoto na matope
 
Samahani mkuu, sijakuelewa vyema. Unaposema Ratio ya Mil 500 kwa nchi zote, unamaanisha kila nchi iwe na watu Mil 500 au wastani wa idadi ya watu iwe ni Mil 500 kwa nchi zote?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 

mkuu umeandika kama unakimbizwa vile
 
Mkuu nimekuwa na dini kwa muda mrefu, nimestaafu kuwa na dini.
Nimekuwa Conscious na kuona kumbe dini zote pia ni mali ya Illuminati.
It is a mind controlling tool
Kwingine kote mekuelewa ila hapa naona unakosea ndio nakubali yaweza kuwa wana umiliki ktk taasisi kubwa za kidini na makanisa ila Mungu yupo na ipo njia sahihi ya kumuabudu ambayo wao wanaipinga kaa chimba biblia kwa umakini utagundua ukweli ni upi?
 
Wow,excellent,nashukuru sana kupata washirika.Mods hawataufuta huu uzi mkuu,nina hakika.JF Mods nao siku hizi naona either they are starting to appreciate this truth or they are letting it loose because the establishment is convinced that if we know,there is nothing we can do at this point in time.
 
Acha ujinga huwezi kupunguza watu kwa kuwaua above 50 of age ambao hawana impact ktk uzao, ingekua ni kama unavyofikiri ujinga wako basi vaccination ingefanyika kwa infants
 
Kaka hueleweki unasimamia nini na unatushauri sawa, lakini tujue unasimamia nini ili tusimame ktk hicho unachokiamini. Kama ni imani ktk Mungu sema, kama ni science sema ili tufahamu
Hapa hujaeleweka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…