INAUZWA Holman compressor

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
336
311
Habari wadau nauza mashine ya kufua upepo (compressor) kubwa unaweza kutumika kwa ajili ya mining and construction projects.

Details zake ni
Engine ya Ford Piston 4 kubwa

Kinu chake ni cha Holman inafua upepo mkali sana wakuweza kufika 1000mtrs.
Nicheki pm kwa taarifa zaidi tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom