Holiday season na zawadi.....

Holiday season na zawadi.....

wehoodie

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
1,037
Reaction score
1,026
Wadau...

images


Mitaani pameanza kupambwa pambwa, matangazo ya sales sales kila kona.....na miti imeanza kuchanua maua kuashiria msimu wa sikukuu umekaribia......walio mbali wameanza kufanya bookings na travel plans....

kwa wale mnaotegemea paycheck hebu anzeni kujibana matumizi mwezi huu wa November mmapate hela ya kununua zawadi za sikukuu kwa wale walio muhimu kwenu.

Swali langu;

Je ni zawadi gani maridhawa ya kuwapatia wapenzi wetu katika kipindi cha sikukuuu ili tujipange kukusanya michuzi ya hizo zawadi.....wewe umejipanga kumpa zawadi gani yule mwandani wako/ rafiki/mke/mme/mpango wa kando/sugar daddy or mammy/mtoto/binamu/etc
 
Sumsung Galaxy, Gauni nzuri, Ua zuri na kadi, pamoja na mengine mazuri zaidi ya ndani.
 
Natampa gari ......................!:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Mwingine namnunulia pichu nyekundu...........!:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
nunulia ticket aende sauz akacheki wakina drogba
 
Wadau...

images


Mitaani pameanza kupambwa pambwa, matangazo ya sales sales kila kona.....na miti imeanza kuchaInua maua kuashiria msimu wa sikukuu umekaribia......walio mbali wameanza kufanya bookings na travel plans....

kwa wale mnaotegemea paycheck hebu anzeni kujibana matumizi mwezi huu wa November mmapate hela ya kununua zawadi za sikukuu kwa wale walio muhimu kwenu.

Swali langu;

Je ni zawadi gani maridhawa ya kuwapatia wapenzi wetu katika kipindi cha sikukuuu ili tujipange kukusanya michuzi ya hizo zawadi.....wewe umejipanga kumpa zawadi gani yule mwandani wako/ rafiki/mke/mme/mpango wa kando/sugar daddy or mammy/mtoto/binamu/etc
Gari Mercedes au Lexus .mungu wangu hebu nifikirie mume wangu jamani nampenda mume wangu kufaa.
 
Back
Top Bottom