Hoja za Katiba na Dowans Zatupwa

Hoja za Katiba na Dowans Zatupwa

Ribyata 2010

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
11
Reaction score
0
Katibu wa Bunge amesema Hakuna haya ya kuzungumzia hoja ya katiba
ambayo ilitakiwa kuwasilishwa na Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika kwa
sababu Serikali imeanza mchakato wa Katiba Mpya

Kuhusu suala la Dowans amesema kesi hiyo iko mahakamani kwahiyo Bunge
haliweza kuzungumzia suala hilo kwa sasa .



Nitaendelea kuwapa report........yanayojili hapa ktk ofisi za bunge dodoma.
 
Nashukuru kwa taarifa lakini hawa jamaa wanataka nchi hii isiwe kisiwa cha amani kwa kuzuia hoja binafsi bungeni hiyo ni kuzuia uhuru wa kuongea.
 
Back
Top Bottom