Hoja za Dr. Slaa Siyo Rocket Science!

Hoja za Dr. Slaa Siyo Rocket Science!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...
 
Ni kweli wao ni kutaja kasoro za watu lakini sijasikia ahadi yeyote ya kuondoa kero za watanzania kama ni jinsi gani elimu itaboreshwa, kuondoa kero ya foleni ambayo inaligharimu taifa hili kuliko kawaida. Nataka kusikia kuimarishwa miundombinu hasa reli na bandari. Uchumi wa nchi, Maisha na kipato cha mtanzania wa kawaida kitaboreshwa vip kwa kutumia rasilimali zetu za ndani( kwani wenzetu Rwanda na Kenya wameweza). Ndio ninataka kusikia sio huyu kazaa na fulani, huyu kaiba je tuna uhakika gani wewe hutaiba? Tunataka mtuambie kwa kweli nchi hii iko hoi sana
 
Nilijua lazima kuna kitu kitatokea kabla ya uchaguzi kuhakikisha vyama vya upinzani vyote vinasambaratika ovyo na naona imetokea kweli, CDM walivuma sana mwaka jana na upepo wote ulikua umehamia kwao, CCM walikua wanaonekana ovyo sana ila mambo yalivobadilika, sasa Magufuli anawaka si mchezo, CDM haina mwelekeo, ACT nacho kimekuja kuvuruga watu wa upinzani wanahama ovyo, in short ni kwamba Magufuli mwaka huu anabeba urais kwa kura zaidi ya 80%, viti vya CDM navyo vitapungua kwa kasi sana bunge lijalo. Unless wawe na a card to play kuturn everything around huu muda uliobaki which is next to impossible.
 
Nadhani wewe na mwenzako hapo juu akili zenu ni kama za ccm tu. Kama mnabisha, jielezeni!
 
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...

Tangu wamkaribishe Lowasa wananchi wameshawadharau wanawaona waongo na wahuni tu, Kama tatizo ni CCM mbona wanawatandikia Zulia jekundu hao hao CCM, siwangetafuta damu changa itakayokuja na majibu ya matatizo ya wananchi. Huko kwa lisu shida ya maji na madawati iko palepale pamoja na kubwata kote.
 
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...

We ulitaka atoe hoja gan zaid ya kuikosoa serikali iliyopo madarakani hivi unajua maana ya upinzani.
 
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...

We kweli mgeni nchi hii!! au ndio mwanakitengo uko kazni kutekeleza kazi za bwana zako!! Umesahau Dr Slaa alisema angepunguza kodi kwenye cement hadi mfuko mmoja uuze ths 6,000!! Wachovu wa magamba bana!
 
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...
1. Waliotoa hoja ya kuwa katiba ya sasa ni mbovu na inatakiwa ibadilishwe ni akina nani?
2. Waliosema elimu Shule ya Msingi na Secondary itakuwa Bure ni akina nani?
3. Waliosema ili kila mtanzania awe na nyumba bora watasababisha kupungua kwa bei ya vifaa vya ujenzi ikiwemo Cement kwa mfuko kuuzwa kwa Tsh 5000 kwa kuwaondolea au kupunguza kodi kwa bidhaa hizo ni akina nani?
4. Waliosema watahakikisha Rasilimali zote zilizotaifishwa na CCM ambazo zilijengwa na wananchi wote kabla ya mfumo wa vyama vingi vikiwemo viwanja vingi ya michezo ni akina nani?
 
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...

Sijui unaishi wapi ambako husomi magazeti au kwenye mitandao.

Dr Slaa keshasema mengi anayoweza kufanya.

Wakati ule CCM walipoleta kodi ya kichwa wakaiita kodi ya maendeleo alisema ataifuta mara moja akipewa nafasi. CCM wakasoma upepo wakaiondoa.

Wazo la katiba mpya halikuwa la CCM bali vyama vya upinzani akiwemo Dr Slaa. CCM wakakurupka wakaja na katiba ya Chenge na Sitta.

Alisema atahakikisha kila mtanzania anaishi kwenye nyumba yenye bati. Hili CCM wameshindwa kwa sababu ya ufisadi uliokidhiri. Ma EPA, ESCROW nk. Kodi hawakusanyi. Serikali ambayo inaweza kuondoa ma EPA na ESCROW na kukusanya kodi ipasavyo, inaweza kabisa kuhakikisha kila mtanzania anaishi kwenye nyumba ya bati. Nadhani Rwanda wamefanikiwa sana kwa hilo. Hakuna mwananfunzi angekosa hela ya mkopo elimu ya juu.
 
Km ulimsikia akisema hayo,ina maana aliposema muda wa kampeni bado ukifika atashusha nondo zake,uliziba masikio!!?? Hata hivyo aligusia mambo machache,alitolea mfano wa train kwa nchi km yetu yenye rasirimali kedekede ni aibu kusafiri kwa train siku 3 wakati kuna train zenye kasi ya km-300 kwa saa!!. Sijui nini ambacho hujaelewa hapo..!
 
Ni kweli wao ni kutaja kasoro za watu lakini sijasikia ahadi yeyote ya kuondoa kero za watanzania kama ni jinsi gani elimu itaboreshwa, kuondoa kero ya foleni ambayo inaligharimu taifa hili kuliko kawaida. Nataka kusikia kuimarishwa miundombinu hasa reli na bandari. Uchumi wa nchi, Maisha na kipato cha mtanzania wa kawaida kitaboreshwa vip kwa kutumia rasilimali zetu za ndani( kwani wenzetu Rwanda na Kenya wameweza). Ndio ninataka kusikia sio huyu kazaa na fulani, huyu kaiba je tuna uhakika gani wewe hutaiba? Tunataka mtuambie kwa kweli nchi hii iko hoi sana

naku unga mkono mkuu
 
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...

Usiwe na pressure, champaign hazijaanza, ilani yachama haijapitishwa. Tulia kidogo tu mwanakwetu, mziki wa UKAWA unakuja.
 
Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA bado haijatoka. Akisema atakuwa ameanza kampeni mapema kabla ya wakati au la atakuwa anasema ya kwake binafsi ambayo hayamo kwenye ilani ya chama
Ni kweli wao ni kutaja kasoro za watu lakini sijasikia ahadi yeyote ya kuondoa kero za watanzania kama ni jinsi gani elimu itaboreshwa, kuondoa kero ya foleni ambayo inaligharimu taifa hili kuliko kawaida. Nataka kusikia kuimarishwa miundombinu hasa reli na bandari. Uchumi wa nchi, Maisha na kipato cha mtanzania wa kawaida kitaboreshwa vip kwa kutumia rasilimali zetu za ndani( kwani wenzetu Rwanda na Kenya wameweza). Ndio ninataka kusikia sio huyu kazaa na fulani, huyu kaiba je tuna uhakika gani wewe hutaiba? Tunataka mtuambie kwa kweli nchi hii iko hoi sana
 
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!

Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?

Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...

Haki ya nani mwaka huu mmeshikwa pabaya. Haya majizi ya CCM hayana ubavu wa kuzuia nguvu ya umma kuwatoa madarakani. Mwaka huu Urais mtauisikia kupitia kwenye bomba
 
Nilijua lazima kuna kitu kitatokea kabla ya uchaguzi kuhakikisha vyama vya upinzani vyote vinasambaratika ovyo na naona imetokea kweli, CDM walivuma sana mwaka jana na upepo wote ulikua umehamia kwao, CCM walikua wanaonekana ovyo sana ila mambo yalivobadilika, sasa Magufuli anawaka si mchezo, CDM haina mwelekeo, ACT nacho kimekuja kuvuruga watu wa upinzani wanahama ovyo, in short ni kwamba Magufuli mwaka huu anabeba urais kwa kura zaidi ya 80%, viti vya CDM navyo vitapungua kwa kasi sana bunge lijalo. Unless wawe na a card to play kuturn everything around huu muda uliobaki which is next to impossible.
huyu anaongea ovyo ovyo sijui kala maharage ya wapi huyu?
bilashaka anahoma ya uchaguzi
 
Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA bado haijatoka. Akisema atakuwa ameanza kampeni mapema kabla ya wakati au la atakuwa anasema ya kwake binafsi ambayo hayamo kwenye ilani ya chama
Hapa umenipa jibu kwani nataka unishawishi chama chako kitafanya nini kuboresha treni kwani Treni ni muhimu sana kwa nchi yeyote inayohitaji maendeleo, madini na mbuga za wanyama zitainufaisha vip Tanzania. Lakini vinginevyo unamchafua mtu wakati wewe hatuelewi kwamba unaweza kuiharibu nchi hii mara tatu zaidi ya hapa tulipo. Mifano ya nchi za Africa ambazo zilikuja kujutia maamuzi yake tunazijua ila si vizuri kuzitaja.
 
Ni kweli wao ni kutaja kasoro za watu lakini sijasikia ahadi yeyote ya kuondoa kero za watanzania kama ni jinsi gani elimu itaboreshwa, kuondoa kero ya foleni ambayo inaligharimu taifa hili kuliko kawaida. Nataka kusikia kuimarishwa miundombinu hasa reli na bandari. Uchumi wa nchi, Maisha na kipato cha mtanzania wa kawaida kitaboreshwa vip kwa kutumia rasilimali zetu za ndani( kwani wenzetu Rwanda na Kenya wameweza). Ndio ninataka kusikia sio huyu kazaa na fulani, huyu kaiba je tuna uhakika gani wewe hutaiba? Tunataka mtuambie kwa kweli nchi hii iko hoi sana

Ahadi pekee Slaa aliyoitoa ni kutengeneza kiwanda cha gongo akiingia Ikulu
 
Back
Top Bottom