Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,014
Haya mambo ya kulipana mishahara mwisho wa mwezi imebaki ktk nchi za dunia ya tatu na pili kiasi.
Ulaya Kote Na Amerika, wameanza muda kulipa mishahara kwa wiki, bila kujali woga wa mishahara midogo.
1. Hii itasaidia kuspeed up uchumi kwa kuwa kutakuwa na mzunguko wa pesa muda wote ktk soko,
2. japo mishahara ni midogo itasaidia wenye mishahara midogo kujikimu kwa wakati kwani wengi wao mshahara haufiki mwisho wa mwezi unaofuata.
3. Serikali itapata kodi kwa wakati na itakuwa na uwezo wa kujitathmini kwa muda mfupi.
Nawasilisha!