Sasa huoni Kama hii ni dhambi na doa ndio Yale Yale aliyosema Obama unavifungia vyama vya upinzani na vyombo vya habari halafu miraculously unapata 99.9% kuraUna hoja ya msingi, lakini kama unakumbuka, Mbowe alisema jana kuwa media zote zilikataa kurusha live mkutano kuwa wanaogopa kufungiwa. Hivyo tusiwalaumu!
Matukio yake hayakuwa na uzito na yangeweza kufanywa kimyakimya bila kusumbua taifa zima as if kuna Jambo zito la kitaifa limetokea.Hapana bwana kumbuka yule ni rais tena sio rais wa tff ni rais wa inchi, huwez kusema tukio Lake lisirushwe kisa chadema wanafanya uchaguzi
Matukio yake hayakuwa na uzito na yangeweza kufanywa kimyakimya bila kusumbua taifa zima as if kuna Jambo zito la kitaifa limetokea.
kiukweli nawashangaa, nchi haiwezi ku pause ratiba za shughuli za msingi kisa tu chama cha siasa kinafanya mkutano na uchaguziYaani nchi isimamishe shughuli zake kisa Chedema, ACT ama TLP wanafanya mkutano.
Nyie wafuasi wa CHADEMA sijui mnatumia kiungo gani kufikiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi wenyewe magumashi matupu!Hiyo ni dharau sasa, yaani Rais aache ratiba zake eti kisa tu Chama cha siasa kina mkutano na uchaguzi. hauko serious
Mi nimefurahi tu Rais kuzindua visima vya shule! Nadhani Afisa Elimu alikuwa amebanwa na majukumu mengineMatukio yake hayakuwa na uzito na yangeweza kufanywa kimyakimya bila kusumbua taifa zima as if kuna Jambo zito la kitaifa limetokea.
Rais anakwenda kuzindua kisima cha maji inakuwa tukio LA kitaifa?Mzee baba unasema kabisa Mambo ya CHADEMA ni ya muhimu kuliko Ziara ya RAIS kuzindua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi ambayo hata wataoitumia ni wote hata wasio na chama! Kwa hili mtazamo wangu uko tofauti na wakwako. nadhani CHADEMA walifanya mambo yao bila hatu kusumbuliwa mpaka wakahitmisha leo asbh
Acha bangi, yaani mkutano wa saccos uwe na umuhimu kuliko yale aliyokuwa anayafanya Rais? Kuwa serious basiNilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.
Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.
Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato.
Mwisho akafunga na kwenda shule ya msingi aliyosomea kufungua visima nane vilivyojengwa na Islamic foundation.
Hoja yangu:
Wakati haya yote yakiendelea chadema walikuwa na mkutano wao mkuu ambao kimsingi ni tukio la kitaifa lenye uzito kuliko hata ratiba ya Jana ya MH Rais.
Binafsi navilaumu vyombo vya habari kwa unafiki huu kumbukeni siku chadema ikishika madaraka mtalazimika kuyajibu haya. Inamaana kweli hamkuombwa Tena kwa malipo kuja kurusha matangazo Yale? Na je wapanga ratiba ya Rais ni kweli ilikuwa coincidence kwa ratiba ya Rais kugongana na mkutano mkuu wa chadema au mlipanga makusudi ili ku overshadow mkutano wa chadema?
Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.