vidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 356
- 120
Ndugu naona Kuna watu akili Yao huwa hazifanyi kazi kwa Muda fulani Tigo wamesema nunua kifurushi cha wiki upate what's p Bure mi ni mmoja wa watumiaj wa tigo ni kwamba nataka niwaelemishe mamburulazzz unaweza ukapewa may be MB 300 kwa wiki Sasa simu yako Ina application kibao hvyo unaweza ukatumia MB zikaisha kabla ya wiki kwa watumiaj wa Internet kwa Sana ila kwenye what's p mtu anaweza akakurushia video hata ya MB 10 ila kumbuka MB za kawaida zimeisha ila kwenye what's up unaweza ukaendelea kuchat na kudownload vitu kibao licha MB ulizonunua zimeisha kabla ya wiki ndo maana wakaja na slogan hyo Sasa nashangaa unakuta jitu linauliza sijui Bure ipo wapi au Kuna misemo kadha wa kadha hyo ni strategy mojawapo ya marketing hvyo kabla ya kuropoka ropoka soma na uelewe maana ya tigo wanavyomaanisha kabla ya kuropoka kwa baadh ya mamburulazzz Asanteni