Hoja ya kutokuwa na imani na Mh. fulani inaweza kuibuka wakati wowote

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,325
152,136
Watu wa mjengoni hawana mamlaka ya kumuadhibu kiranja mdogo moja kwa moja na badala yake wanaweza kutumia mamlaka yao kumwajibisha kiranja mkuu wake pale mjengoni.Yeye aendelee tu kuja na maamuzi yake aone kitakachotokea hata kama kura hazitatosha ila itakuwa ni aibu tosha kwake mwenyewe na kwa mabosi wake.

Watamtaka ajiuzulu na bila shaka atagoma na hapo ndipo watakapokuja na hoja binafsi ya kutaka kumuondoa boss wake kama njia mbadala iliyobaki.
 
Kwa hali hii naona jipu linaanza kumuota mtumbuaji mkuu wa majipu. Na akizembea tuu likiwa kubwa wananchi ndo watakao litumbua.
 
Back
Top Bottom