Hoja. Tuwe na Hansard yetu hapa JF.

Batale

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,148
556
Ramada Kareem wana Jf.

Napendekeza tuwe na hansard ya kudumu kwa mambo mazito ya kitaifa tuyajadiliyo hapa. mfn hili la makinikia tuwataje wabunge wa CCM waliokuwa mjengoni kati 1995 mpk sasa ambapo mikataba na miswada ya hovyo ikiidhinishwa mjengoni kwa ndio nyingi.

Lengo tuwasute hapa na kuwataka waombe radhi taifa kabla ya kuchangia chochote tena pale mikataba na miswada itakapopelekwa mjengoni kama ilivyoagizwa na mkulu.

Hii itasaidia kizazi kijacho kuwajua wasaliti wa taifa hili. Ikumbukwe kwa sasa kila mtu anaongea kana kwamba hili suala kila mtu hakuhusika. mfn hata raisi. sipika na wabunge walokuwemo enzi na bado wamo wanashangaa.

Naomba kuwasilisha.
 
Yaani na kuwaza koote umekuja na hoja na pendekezo la kuwasuta... ama kweli njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba.
 
Tumia nafsi ya kwanza umoja,,yani kuandika vyote hivyo conclusion ni kusuta daaaaa!!!

 
Back
Top Bottom