Hoja nne za CHADEMA Mahakama ya Rufani katika mapitio kesi ya mgawanyo wa mali

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026.
Hoja hizo ni pamoja na ukomo wa muda wa mgogoro unaobishaniwa, thamani ya mali zinazotakiwa kugawanywa, haki za kikatiba zinazokosekana wakati wa mgogoro na waliokuwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini kuishitaki bodi hiyo.

Akizungumzia mipaka ya zuio lililowekwa na Mahakama kuu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza...

View attachment 3562278
Akizungumzia mipaka ya zuio lililowekwa na Mahakama kuu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza...

View attachment 3562279
Mnamaliza mwaka kwenye uongozi wenu mkiwa mnasugua soli za viatu kwenye corridors za Mahakama. Daaadadeki, uongozi ni kitu kimoja na uwezo wa kuongoza ni kitu kingine.

Uwezo wa kuongoza siyo sawa na matako ambayo hata Heche John anayo.
 
Masikini!...
 
Mahakama ya TANZANIA inatia aibu
Tabia zilezile za ulaghai unaoanzia kwa Samia umeenea katika ngazi zote serikalini.
Ni kama walipewa semina na makongamano ya kuwa ulaghai juu ya kila jambo ndio mwongozo mpya katika kila secta serikalini.

Ni jambo la kusikitisha sana.

Hata hawa nguruwe wanaoingia humu JF michango yao yote ni ya kilaghailaghai tu; hakuna hata mmoja anayeweza kuchangia hoja ikaeleweka.
Hawa watu wenye tabia hizi wameibuka toka wapi katika utawala huu wa huyu mtu mwovu kabisa?
 
Mnamaliza mwaka kwenye uongozi wenu mkiwa mnasugua soli za viatu kwenye corridors za Mahakama. Daaadadeki, uongozi ni kitu kimoja na uwezo wa kuongoza ni kitu kingine.

Uwezo wa kuongoza siyo sawa na matako ambayo hata Heche John anayo.
Mfano mzuri ninaousema ni kama huu wa huyu nguruwe hapa.
Hana lolote la maana la kuchangia ndani ya jukwaa hili. Ni mipasho tu isiyokuwa na maana yoyote.

Sasa huko kusugua sole za viatu kumemsaidia kitu gani Samia; wakati ndio kwanza anajizika kabisa kwenye uhalifu wa kutisha?
 
Uwezo wa uongozi siyo sawa, hata wewe unayo
 
Back
Top Bottom