Hoja;kulikokoni kwenye bei za gesi????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja;kulikokoni kwenye bei za gesi?????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kevo, Aug 10, 2011.

 1. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kulioni kwenye Gesi??Huku Tanzania ikigubikwa na hoja ya uhaba wa mafuta na mgao wa umeme bei za gesi zimepanda bei tena???Hivi mamlaka husika zinafanya nini kila leo kupindisha bei gesi???Mtungi wa 15kg umetoka elfu arobaini na nne mpaka elfu arobaini na naneĀ….
  Tunaelekea wapi na huu upandishaji holela wa bei????
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sio siku nyingi huo mtungi ulikuwa ukiuzwa 28,000/=
   
 3. K

  Karry JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nilihoji wakati fulani gas ilihadimika dar, nikaambiwa meli kutoka nijeria imechelewa, hivi ni kweli hii gas ya kupikia inatoka nigeria? wenye data kaminili mtujuze
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,472
  Likes Received: 9,877
  Trophy Points: 280
  tunarudi kwenye ujima taratibu. Serikali yetu ime categorize matumizi ya gesi kuwa ni anasa
   
 5. papason

  papason JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,019
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  Huku kanda ya ziwa mtungi wa gas wa kilo 15 tunanunua kwa 60,000/, kwa kweli tutaendelea kukata miti adi mapori yote yawe jangwa!
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Baada ya kuisoma habari hii kwenye mwananchi la jana nilimpigia simu wife aulize bei ya mkaa ni shilingi ngapi ili tuhamie huku, kwani kwa mwendo hali ni mbaya sana
   
Loading...