Hoja kinzani wajawazito kurejea masomoni

Peter Stephano 809

Senior Member
Feb 29, 2020
120
162
Kwa muda mrefu wanaharakati, na watetezi wa masuala ya jinsia wamekuwa wakidai haki ya mtoto wa kike kurudi masomoni baada ya kupata ujauzito.

Suala hili limekua kaa la Moto kwa muda mrefu nchini Tanzania kwani serikali ilipiga marufuku wanafunzi wanapopata ujauzito kurejea masomoni hata sheria na kanuni za elimu zinabainisha hivyo.

Mwanasiasa màarufu na kiongozi wa chama cha ACT ZItto Kabwe aliwahi kuingia matatani baada ya kuiandikia barua benki ya dunia iliyokuwa inajiandaa kuipatia Tanzania msaada wa kifedha ili kufadhili masuala ya elimu.

Barua hiyo ambayo ilidai kuwa Tanzania inakiuka haki ya msingi ya mtoto wa kike kupata elimu kwa kumzui kurejea masomoni ilipelekea kusitishwa kwa muda msaada huo ingawaje baadae ukaidhinishwa.

Jambo hilo lilipelekea Spika wa bunge kutoa rai kwa Serikali kumuwajibisha Zitto kabwe kwa kosa la kuikosesha nchi msaada huo.

Pia Katika bunge la 11 mjadala huu uliwahi kugawa wabunge huku idadi kubwa ikishikilia kuwa wasiendee na masomo.

Hata hivyo neema imewangukia baada ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Professa Joyce Ndalichako Kutangaza kuwa serikali imeridhia wanafunzi walio acha masomo kwa sababu mbalimbali wataweza kurejea masomoni kwa mfumo rasmi.

Ndalichako amesema kuwa wenye sifa za kurudia masomo ni wale wenye sababu Kama vile waliopata ujauzito, waliopata shida ya kiuchumi, ugonjwa na sababu nyingine za kawaida.

Aidha Ndalichako amesema walio fukuzwa kwa makosa mbalimbali ya kisheria kama vile makosa ya kiusalama na kinidhamu hawataruhusiwa kurudi masomoni.

Jambo hili linaungwa mkono na wanahakati wengi na raia wa kawaida ingawaje wengine bado wanaonyesha mashaka kulikubali moja kwa moja.

Je, ni sababu zipi zinazoleta utofauti huu wa mapokeo ya tangazo hili la serikali.

Sababu anuai ni umuhimu wa elimu kwa mtoto wa kike ili kuweza kuleta usawa wa kijinsia katika elimu.

Malia Sarungi ni mwanaharakati na mtetezi wa kijinsia anasema serikali imechelewa kuridhia jambo hili kwakua lina maslahi makubwa katika kuleta usawa wa kijinsia pia anaishauri serikali kurekebisha na kufuta sheria inayopiga marufuku wanafunzi wanapopata ujauzito kurejea masomoni akisema kufanya hivyo utakuwa ndio suluhisho la kudumu na sio kutoa tamko pasipo kufuta sheria.

Aidha wanounga mkono tangazo hili wanaitaka serikali kuunda sera za kumsaidia mtoto wa kike kupata elimu pasipo changamoto ikiwemo kumpatia elimu ya kijinsia na kuongeza mada kwenye mtaala wa wlimu kuhusiana na masuala ya jinsia ikiwemo namna ya kuepuka mimba za utotoni.

Kwa upande wa pili wa shilingi mashaka makubwa juu ya tangazo hili ni kuhusu namna ambavyo jamii italochukulia tangazo hilo kwani linaweza kupelekea kuongezeka kwa mimba za utotoni hususani kwa wanafunzi.

Wanasema kutokwepo kwa hofu ya kutoendelea na masomo kutakuwa kichocheo cha wanafunzi wengi kutoogopa kupata ujauzito.

Hoja ya pili ni namna ambavyo jamii itaweza kukabili majukumu ya kulea watoto wa Wanafunzi hao pindi watakapo endelea na masomo kwakua Ni ndani ya maiaka miwili tu, umri huu mtoto hawezi kuwa kwenye hali nzuri hivyo bado anahitaji ukaribu mkubwa wa malezi.

Hivyo jambo hili linaweza kukwamisha wazazi kujihusisha na shughuli za kimaedeleo hasa Kilimo kwakua na majukumu ya kulea watoto wa Wanafunzi hao waliopo mashuleni.

Pia hatua hii inaweza kuendekeza ama kuchochea kasumba ya umalayaashuleni kutokana na tabia ya wanafunzi hao kusimuliwa na kuiga yale ambayo yalofanywa na wanafunzi wenzao Walio pata ujauzito na kurejea masomoni baada ya kijigungua.

Hoja hizi kinzani ni nyingi zaidi huko mtaani lakini zinakosa majibu kwakua hazina unabii juu ya Hali gani itatokea.

Hata hivyo walaka uliotolewa na wizara husika umeahindwa kubainisha baadhi ya mambo Kama vile kueleza ni kipindi gani mwanafunzi aliepata ujauzito atatakiwa kuachishwa masomo Kisha kurejea akijifungua.

Pia waraka huu haujabainisha ni mikakati gani ambayo itawekwa kuhakikisha hali hii haithiri maendeleo ya elimu nchini hasa ndani ya mfumo rasmi wa dunia.

Serikali inapaswa kwenda mbali na kuhakikisha mfumo huu unakuwa wa manufaa na sio kukuza tatizo husika.

Peter Mwaihola kitaaluma ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa na jamii.
 
Je ni sababu zipi zinazoleta utofauti huu wa mapokeo ya tangazo hili la serikali.

Peter Mwaihola kitaaluma ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa na jamii.View attachment 2024217
Hee!
 
Watoto wa wenye hela waliozaliwa kwa wazazi wenye uelewa,hilo halijawahi kuwa tatizo.walipata mimba,walizaa na walirudi shule kuendelea na masomo katika shule za private.
Hii ni Kwa sababu binti kupata mimba haimaanishi kuwa yeye ndie amejamiana zaidi kuliko wengine hapana.Na haimaanishi kuwa hao wasiopata mimba ni watiifu Sana hapana.kwahiyo hakuna kitakachobadilika,wala hakuna athari zozote kimaadili.serikali imechelewa Sana kufikia haya maamuzi.
Suala la kulea wajukuu halikwepeki.Hata ukimzuia kurudi shule,bado atawazaa na wengine hapo hapo kwa wazazi na mzigo wa kulea ukadumu tu.Ni Bora awe bize na shule huko labda anaweza kuchomoka na kukata mnyororo wa umasikini katika familia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tutarajie haya mwakan
1637935409030.jpg
 
Kwa muda mrefu wanaharakati, na watetezi wa masuala ya jinsia wamekuwa wakidai haki ya mtoto wa kike kurudi masomoni baada ya kupata ujauzito.

Suala hili limekua kaa la Moto kwa muda mrefu nchini Tanzania kwani serikali ilipiga marufuku wanafunzi wanapopata ujauzito kurejea masomoni hata sheria na kanuni za elimu zinabainisha hivyo.

Mwanasiasa màarufu na kiongozi wa chama cha ACT ZItto Kabwe aliwahi kuingia matatani baada ya kuiandikia barua benki ya dunia iliyokuwa inajiandaa kuipatia Tanzania msaada wa kifedha ili kufadhili masuala ya elimu.

Barua hiyo ambayo ilidai kuwa Tanzania inakiuka haki ya msingi ya mtoto wa kike kupata elimu kwa kumzui kurejea masomoni ilipelekea kusitishwa kwa muda msaada huo ingawaje baadae ukaidhinishwa.

Jambo hilo lilipelekea Spika wa bunge kutoa rai kwa Serikali kumuwajibisha Zitto kabwe kwa kosa la kuikosesha nchi msaada huo.

Pia Katika bunge la 11 mjadala huu uliwahi kugawa wabunge huku idadi kubwa ikishikilia kuwa wasiendee na masomo.

Hata hivyo neema imewangukia baada ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Professa Joyce Ndalichako Kutangaza kuwa serikali imeridhia wanafunzi walio acha masomo kwa sababu mbalimbali wataweza kurejea masomoni kwa mfumo rasmi.

Ndalichako amesema kuwa wenye sifa za kurudia masomo ni wale wenye sababu Kama vile waliopata ujauzito, waliopata shida ya kiuchumi, ugonjwa na sababu nyingine za kawaida.

Aidha Ndalichako amesema walio fukuzwa kwa makosa mbalimbali ya kisheria kama vile makosa ya kiusalama na kinidhamu hawataruhusiwa kurudi masomoni.

Jambo hili linaungwa mkono na wanahakati wengi na raia wa kawaida ingawaje wengine bado wanaonyesha mashaka kulikubali moja kwa moja.

Je, ni sababu zipi zinazoleta utofauti huu wa mapokeo ya tangazo hili la serikali.

Sababu anuai ni umuhimu wa elimu kwa mtoto wa kike ili kuweza kuleta usawa wa kijinsia katika elimu.

Malia Sarungi ni mwanaharakati na mtetezi wa kijinsia anasema serikali imechelewa kuridhia jambo hili kwakua lina maslahi makubwa katika kuleta usawa wa kijinsia pia anaishauri serikali kurekebisha na kufuta sheria inayopiga marufuku wanafunzi wanapopata ujauzito kurejea masomoni akisema kufanya hivyo utakuwa ndio suluhisho la kudumu na sio kutoa tamko pasipo kufuta sheria.

Aidha wanounga mkono tangazo hili wanaitaka serikali kuunda sera za kumsaidia mtoto wa kike kupata elimu pasipo changamoto ikiwemo kumpatia elimu ya kijinsia na kuongeza mada kwenye mtaala wa wlimu kuhusiana na masuala ya jinsia ikiwemo namna ya kuepuka mimba za utotoni.

Kwa upande wa pili wa shilingi mashaka makubwa juu ya tangazo hili ni kuhusu namna ambavyo jamii italochukulia tangazo hilo kwani linaweza kupelekea kuongezeka kwa mimba za utotoni hususani kwa wanafunzi.

Wanasema kutokwepo kwa hofu ya kutoendelea na masomo kutakuwa kichocheo cha wanafunzi wengi kutoogopa kupata ujauzito.

Hoja ya pili ni namna ambavyo jamii itaweza kukabili majukumu ya kulea watoto wa Wanafunzi hao pindi watakapo endelea na masomo kwakua Ni ndani ya maiaka miwili tu, umri huu mtoto hawezi kuwa kwenye hali nzuri hivyo bado anahitaji ukaribu mkubwa wa malezi.

Hivyo jambo hili linaweza kukwamisha wazazi kujihusisha na shughuli za kimaedeleo hasa Kilimo kwakua na majukumu ya kulea watoto wa Wanafunzi hao waliopo mashuleni.

Pia hatua hii inaweza kuendekeza ama kuchochea kasumba ya umalayaashuleni kutokana na tabia ya wanafunzi hao kusimuliwa na kuiga yale ambayo yalofanywa na wanafunzi wenzao Walio pata ujauzito na kurejea masomoni baada ya kijigungua.

Hoja hizi kinzani ni nyingi zaidi huko mtaani lakini zinakosa majibu kwakua hazina unabii juu ya Hali gani itatokea.

Hata hivyo walaka uliotolewa na wizara husika umeahindwa kubainisha baadhi ya mambo Kama vile kueleza ni kipindi gani mwanafunzi aliepata ujauzito atatakiwa kuachishwa masomo Kisha kurejea akijifungua.

Pia waraka huu haujabainisha ni mikakati gani ambayo itawekwa kuhakikisha hali hii haithiri maendeleo ya elimu nchini hasa ndani ya mfumo rasmi wa dunia.

Serikali inapaswa kwenda mbali na kuhakikisha mfumo huu unakuwa wa manufaa na sio kukuza tatizo husika.

Peter Mwaihola kitaaluma ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa na jamii.
Kwani mkuu Tz ina upekee upi huo?kwani nchi za kiafrika zenye huo utaratibu, ukiangalia kwenye kiwango cha elimu, zimetuacha mbali, kwenye uchumi hivyo hivyo tu!!Na eti.miaka miwili ni michache, kwa taarifa yako tu, leo hii kuna wanawake tena wenye maisha yao/kazi zao nzuri tu, wakishajifungua ndani ya mwaka mmoja tu mtoto anapelekwa kwa bibi yake huko akalelewe!!!
 
Back
Top Bottom