Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
..Kwa ninavyoona huu ni mpambano wa kidiplomasia ingawa kwa mtazamo wa kawaida unaweza usiuone. mmarekani kaamua kufanya investment kubwa sana kigamboni, uwekezaji wenye thamani kubwa sana.
..mchina nae kaamua kuja na kubwa kuliko,fedha alizotoa kwa tanzania bila masharti zana thamani ya nusu ya misaada yoote aliyo toa kwa bara la Africa ! thamani yake ni trilioni tatu Tzs.
Hoja: je huu ni urafiki wa mataifa makubwa kwa Tanzania au kuna kitu chini ya kapeti ? Ni ngumu kuamini mabilioni yooote haya yanatolew bure kwetu hata kama kauli za wanasiasa zinasema hivyo. Ninaamini kataka falsafa ya mkono mtupu haulambwi, hii ni dhahiri hata kwa ndugu wa familia moja,kama huna hela hunanafasi..