Hoja Ishirini utekwaji wa MO

Dah, heri Mambosasa angekaa kimya. Stori yake haina akili kabisaaaa. Ni kama ya rijali kumteka hawara kijijini. Hakuna intelijensia kabisa. Hovyooo.
 
Upepo wa Mo ulisha ondoka na upepo wa Ushoga wa Makonda, vuteni subra wadau kuna movie nyingine ipo jikoni najua mna kiu sana na movie....
 
Bora mmoja wa washiriki wa utekaji amekamatwa ili TAIFA LETU LIWE SAFI MACHONI PA WATOA MSAADA,maana wanapiga sana kelele,wanatukera.
 
Well, Ths is four days old fish and we ain't buying it.
 
Halafu kwanini Mambosasa sauti yake ilikuwa inatetema? Alikuwa anaugulia kwa ndani akipingana na nafsi yake. Tutayaona na kusikia mengi mwaka huu.
 
Joshua Mulundi (21) raia wa Kenya aliyekuwa anatuhumiwa kumteka na kumtesa Dk Ulimboka na baadaye kuachiwa huru na mahakama na baadaye kufunguliwa kesi ya kulidanganya jeshi la polisi, ahukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela ama kulipa fine ya shilingi elfu moja (1000) baada ya kukili kosa lake.

Hata hivyo mshtakiwa huyo alifanikiwa kulipa faini hiyo na hivyo kuachiwa huru baada ya mmoja wa waandishi wa habari kumopatia hiyo pesa.
 
It's a drama...!
 
Unanswered Cries...!
 
Dah, heri Mambosasa angekaa kimya. Stori yake haina akili kabisaaaa. Ni kama ya rijali kumteka hawara kijijini. Hakuna intelijensia kabisa. Hovyooo.
Kama watekaji ni wazoefu kutoka nje ya nchi, wangekuwa wameshamuua dereva taksi baada ya kumuacha MO Gymkhana. Otherwise, it is still a drama.
 
Great way of thinking..! Great thinker analysis! [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji115][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…