Hoja Hujibiwa kwa Hoja na si Vioja

Hoja Hujibiwa kwa Hoja na si Vioja

Dadeq

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
384
Reaction score
250
Tujibu Hoja kwa Hoja, si kwa Kejeli

Ni muhimu tujenge mazoea ya kujadili hoja kwa hoja. Mtu anapowasilisha hoja, si busara kuikwepa kwa kuuliza kwa nini hakuzisema enzi za utawala fulani.

Swali kuu linapaswa kuwa: Je, anayosema sasa ni ya kweli au la? Badala ya kurukaruka na kubeza, tujibu hoja nzito kwa hoja nzito. Kuepuka hoja ni kujiaibisha. Tuache mzaha na uchekeshaji usiofaa kwenye mijadala ya msingi.
 
Back
Top Bottom