Hoja: Dr Slaa atambuliwe kama "baba mdogo wa taifa"

Mkuu hapo hakuna ubishi huyu Dr willbroad Peter Slaa anastahili sana tu hata pale mlimani walitakiwa wamuite wampe Degree nyingi tu za heshima namchango wake kwa Taifa hili kwani kama sio yeye Richmond,Kagoda,Meremeta na mengineyo tusingefahamu na bado ndio kawaamsha Watanzania wengi ambao walikuwa washachoka na maisha and now we know na hatudanganyiki tena.Dr Willbroad Slaa ipo siku mtasikia kaitwa Norway kupokea Alfred( Nobel Price)

Uongozi wa UDSM hawajaliona hilo bali wamemwona jk wanamwongeza maphd ya bure cjajua kama walikuwa na nia ya dhati au wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Ni njema 7bu ndie aliyeanza na anaendelea kututafutia uhuru wa taifa letu kutoka kwa wakoloni hawa weusi
 
Mbona wako wanamapinduzi wengi.,.!!lakini wote hawakudai wala kuombewa hiko cheo ulichokitaja.

Kwa lipi kubwa haswa mpaka Slaa apewe hko chuo,kwani kupapanda na ufisadi pekee ni kweli umeikomboa nchi kwa 100??fikiri nje ya boksi wewe!!!vp khs malegendari wengine kama SOKOINE,KAMBONA,KAWAWA,ABDUL SYKES...!

Watanzani mukianza kutetea MASABURI kama haya,.,sidhani kama tutakuwa salama,kila mtu mwenye fikra chanya utatuona sisi ni vichaa.

Kwa jinsi akili yako ilivyo fupi,mukipata dola tu.,mutarazimisha kila waziri awe na picha yake kwenye "SARAFU Na NOTI"
VIONGOZI WA CDM WENGI NI WANAFKI,WACHUMIA TUMBONI.

Angalau simbezi SLAA kwa-effect zake. DQ,LISSU,MDEE,MNYIKA etc hawa ndio Mashujaa wa CDM lakini sio MBOWE,hyu mzee ni VUVUZELA.
 
Nimewahi kumsikia Dr Slaa akilalamikia ukubwa wa posho wanazopewa wabunge. Kwa mfano alisema posho ya mafuta wanayopata ni zaidi ya bei halisi ya mafuta. Atoe tamko kuhusu madai ya baadhi ya wabunge wake kudai nyongeza ya mishahara na posho pasipo kuangalia wapiga kura wao wana hali gani. Vinginevyo naye ni walewale tu.
 
Hana hadhi ya hicho cheo. Mhamasishaji mkubwa wa vurugu huyo.
 
.Vijana sasa mmefilisika kiakili kabisa...siwezi kuwasaidia kama mnashindwa kufikiri na kuanza kuweka cult worshipping kwa kisingizio cha matatizo. hivi Hitler alitoka wapi? nakumbuka alitoka kwenye matatizo ya uchumi mbovu wa ujerumani akawapumbaza wale kama nyie sasa hivi wenye chuki na serikali mwisho wake akaja kuia nchi kabisa na ikagawanywa.

Mtaendelea kutumiwa na mimi soon nakuja kuwatumia kwa sababu nimegundua mnashindwa kupambanua mambo sasa katika wajinga wengi namna hii kazi yangu itakua rahisi sana...endeleeni na fikra hizi hizi
 
Mi namkubari Dr slaa wangu wa ukweli anafaa kupewa tuzo ya kuwapigania watanzania.
 
Ndio maana cameroun anapigania ili muwe na ruhusa ya kufunga ndoa! Wewe kama unampenda huyo Dr. wako funga naye ndoa awe BABA wa nyumba yako! Usituletee kufuru kwa nchi nzima!
 
JK nae tutamwita je??!!

Mh waswahili wanasema ukipenda chongo huita kengeza.....
Dr SLAA baba wa Taifa what a crap?

Lazima mzinzi wa Taifa?
Kituko hiki cha century kwa lipi? Kwa lipi may being a Carrier critics, that's what he deserve?
 
Back
Top Bottom