Hoja: Dr Slaa atambuliwe kama "baba mdogo wa taifa"

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Wana JF
Natambua kwamba watanzania tunamtambua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kama baba wa Taifa letu kutoka na key role aliyoiplay katika harakati na hatimaye
watanzania kupata uhuru kutoka kwa wakoloni weupe.

Ninapendekeza kwamba, kutokana na mchango ambao DR ameishautoa kwa
Taifa letu katika harakati za kujikwamua kutoka katika utawala fisadi, dhalimu,
kandamizi, goigoi, hovyo, jinga, zembe, shenzi, chafu, mbaya, mbovu n.k
wa Chama cha Mapinduzi

hasa kutokana na ujasiri alioanza kuonyesha toka Bungeni wa kuwalazimisha
watawala wetu kuchukua hatua stahiki za kupambana na ufisadi na zaidi mchango
wake katika kutufumbua watanzania "toka enzi za operation sangara" macho
kiasi cha kwamba wooooote sasa tunatambua kwamba kiini cha Matatizo yetu
ni kuwa chini ya utawala wa Chama cha Mapinduzi.

Huku tukikumbuka kwamba ukombozi tunaoupigania sasa ni bora kuliko ule
wa kwanza.

Napendekeza huyu mzee awe Baba Mdogo wa Taifa Letu.
 
well noted mkuu....
Lakini hiyo tittle atapewa?
 
mkuu uko sahihi,uyu daktari kwangu ni mfano wa kuigwa. ila badili title iwe :atambuliwe,maana umeandka :atumbuliwe. Otherwise,well noted.
 
Dhana ya kutambua na kuenzi kazi na mchango wake katika ukombozi wa taifa letu ni nzuri sana. Lakini title ya "baba mdogo wa taifa" siyo title nzuri sana. Tutafute jina jingine.
 
napendekeza BABA MWANDAMIZI WA TAIFA.
 
Kiukweli hoja hii nadhani inafaa sana kumtambua kwa mchango wake kwa taifa hili,labda napendekeza tuanze kwa kuorodhesha huduma zake alizowahi kuhudumu kwa jamii.jee itafaa kuanzia kipindi alipokuwa akifanya/akitoa huduma za kiroho?

Maana hata kipindi hicho amefanya kazi nyingi tu za kijamii bila kubagua dini wala kabila wala itikadi za vyama,na mara baada ya kuacha kazi za kidini,aliingia siasa hapo ndo akaendelea kulitumikia taifa hili.

Hoja nzuri tuiunge mkono na tupendekeze kwa kadri itakavyofaa.
 
Baba wa pili wa taifa. Pia kuwe na utaratibu wa kuwapa jina hilo watakaofanya makubwa kwa maslahi ya taifa kwahiyo kuwe na baba wa 3...4...nk
 
vitendo vyake v kamili na pia uwezo timamu dr haswa si dr wa kupewa kama maandazi, astahi kuitwa DAKTARI WA TAIFA.
 
Wana JF
Natambua kwamba watanzania tunamtambua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kama baba wa Taifa letu kutoka na key role aliyoiplay katika harakati na hatimaye
watanzania kupata uhuru kutoka kwa wakoloni weupe.

Ninapendekeza kwamba, kutokana na mchango ambao DR ameishautoa kwa
Taifa letu katika harakati za kujikwamua kutoka katika utawala fisadi, dhalimu,
kandamizi, goigoi, hovyo, jinga, zembe, shenzi, chafu, mbaya, mbovu n.k
wa Chama cha Mapinduzi

hasa kutokana na ujasiri alioanza kuonyesha toka Bungeni wa kuwalazimisha
watawala wetu kuchukua hatua stahiki za kupambana na ufisadi na zaidi mchango
wake katika kutufumbua watanzania "toka enzi za operation sangara" macho
kiasi cha kwamba wooooote sasa tunatambua kwamba kiini cha Matatizo yetu
ni kuwa chini ya utawala wa Chama cha Mapinduzi.

Huku tukikumbuka kwamba ukombozi tunaoupigania sasa ni bora kuliko ule
wa kwanza.

Napendekeza huyu mzee awe Baba Mdogo wa Taifa Letu.
Mkuu hapo hakuna ubishi huyu Dr willbroad Peter Slaa anastahili sana tu hata pale mlimani walitakiwa wamuite wampe Degree nyingi tu za heshima namchango wake kwa Taifa hili kwani kama sio yeye Richmond,Kagoda,Meremeta na mengineyo tusingefahamu na bado ndio kawaamsha Watanzania wengi ambao walikuwa washachoka na maisha and now we know na hatudanganyiki tena.Dr Willbroad Slaa ipo siku mtasikia kaitwa Norway kupokea Alfred( Nobel Price)
 
Wana JF
Natambua kwamba watanzania tunamtambua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kama baba wa Taifa letu kutoka na key role aliyoiplay katika harakati na hatimaye
watanzania kupata uhuru kutoka kwa wakoloni weupe.

Ninapendekeza kwamba, kutokana na mchango ambao DR ameishautoa kwa
Taifa letu katika harakati za kujikwamua kutoka katika utawala fisadi, dhalimu,
kandamizi, goigoi, hovyo, jinga, zembe, shenzi, chafu, mbaya, mbovu n.k
wa Chama cha Mapinduzi

hasa kutokana na ujasiri alioanza kuonyesha toka Bungeni wa kuwalazimisha
watawala wetu kuchukua hatua stahiki za kupambana na ufisadi na zaidi mchango
wake katika kutufumbua watanzania "toka enzi za operation sangara" macho
kiasi cha kwamba wooooote sasa tunatambua kwamba kiini cha Matatizo yetu
ni kuwa chini ya utawala wa Chama cha Mapinduzi.

Huku tukikumbuka kwamba ukombozi tunaoupigania sasa ni bora kuliko ule
wa kwanza.

Napendekeza huyu mzee awe Baba Mdogo wa Taifa Letu.

Crap .... kesho mtakuja na thread regia mtema awe shangazi wa taifa!...

p.s - sio TZ wanaomchukulia nyerere kama baba taifa
 
Ikiwa hivyo itabidi tutafute na mjombo,kaka dada,na mashemeji wa taifa.
 
Wana JF
Natambua kwamba watanzania tunamtambua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kama baba wa Taifa letu kutoka na key role aliyoiplay katika harakati na hatimaye
watanzania kupata uhuru kutoka kwa wakoloni weupe.

Ninapendekeza kwamba, kutokana na mchango ambao DR ameishautoa kwa
Taifa letu katika harakati za kujikwamua kutoka katika utawala fisadi, dhalimu,
kandamizi, goigoi, hovyo, jinga, zembe, shenzi, chafu, mbaya, mbovu n.k
wa Chama cha Mapinduzi

hasa kutokana na ujasiri alioanza kuonyesha toka Bungeni wa kuwalazimisha
watawala wetu kuchukua hatua stahiki za kupambana na ufisadi na zaidi mchango
wake katika kutufumbua watanzania "toka enzi za operation sangara" macho
kiasi cha kwamba wooooote sasa tunatambua kwamba kiini cha Matatizo yetu
ni kuwa chini ya utawala wa Chama cha Mapinduzi.

Huku tukikumbuka kwamba ukombozi tunaoupigania sasa ni bora kuliko ule
wa kwanza.

Napendekeza huyu mzee awe Baba Mdogo wa Taifa Letu.

JK nae tutamwita je??!!
 
Back
Top Bottom