it shall be well with him Dr.
Dhana ya kutambua na kuenzi kazi na mchango wake katika ukombozi wa taifa letu ni nzuri sana. Lakini title ya "baba mdogo wa taifa" siyo title nzuri sana. Tutafute jina jingine.
Mkuu hapo hakuna ubishi huyu Dr willbroad Peter Slaa anastahili sana tu hata pale mlimani walitakiwa wamuite wampe Degree nyingi tu za heshima namchango wake kwa Taifa hili kwani kama sio yeye Richmond,Kagoda,Meremeta na mengineyo tusingefahamu na bado ndio kawaamsha Watanzania wengi ambao walikuwa washachoka na maisha and now we know na hatudanganyiki tena.Dr Willbroad Slaa ipo siku mtasikia kaitwa Norway kupokea Alfred( Nobel Price)Wana JF
Natambua kwamba watanzania tunamtambua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kama baba wa Taifa letu kutoka na key role aliyoiplay katika harakati na hatimaye
watanzania kupata uhuru kutoka kwa wakoloni weupe.
Ninapendekeza kwamba, kutokana na mchango ambao DR ameishautoa kwa
Taifa letu katika harakati za kujikwamua kutoka katika utawala fisadi, dhalimu,
kandamizi, goigoi, hovyo, jinga, zembe, shenzi, chafu, mbaya, mbovu n.k
wa Chama cha Mapinduzi
hasa kutokana na ujasiri alioanza kuonyesha toka Bungeni wa kuwalazimisha
watawala wetu kuchukua hatua stahiki za kupambana na ufisadi na zaidi mchango
wake katika kutufumbua watanzania "toka enzi za operation sangara" macho
kiasi cha kwamba wooooote sasa tunatambua kwamba kiini cha Matatizo yetu
ni kuwa chini ya utawala wa Chama cha Mapinduzi.
Huku tukikumbuka kwamba ukombozi tunaoupigania sasa ni bora kuliko ule
wa kwanza.
Napendekeza huyu mzee awe Baba Mdogo wa Taifa Letu.
Wana JF