figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Kikao cha halmashauri ya Jiji la Mwanza,kimevunjika baada ya Meya Bw.James Bwire kulalamikia harufu kali, inayohisiwa kuwa ni sumu. Harufu hiyo iliyokuwa ikitoka kwenye kiyoyozi ndani ya ofisi yake, huku watumishi 2 wa jiji wakishikiliwa na Polisi kwa mahojiano.
Meya James Bwire, mwezi wa 4 mwaka huu alilazwa nchini Kenya, baada ya kudaiwa kuanguka ofisini kwake.
Chanzo: ITV
Meya James Bwire, mwezi wa 4 mwaka huu alilazwa nchini Kenya, baada ya kudaiwa kuanguka ofisini kwake.
Chanzo: ITV