Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 262
- 619
Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.
CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu.
Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao ya kuwaelimisha wananchi wa kusini dhana nzima ya No Reforms No Election.
Kumeanza kuchangamka