binti kama kapata UDSM na atakaa Mabibo hostel, namsikitikia ndugu yangu, wachumba wa watu wametafunwa sana pale hadi wengine wanavua pete za uchumba

kuna binti mmoja kwa jina Lusanji(aka hiyo) kutoka Arusha amekua katika mahusiano ya kimapenzi na kijana kwa muda mrefu sasa.Bahati nzuri wote wamepata nafasi za kwenda kusoma elimu ya juu ila vyuo ni tofauti.Kijana kwakua amekolea kwa Lusanji,amemtaka afnye ile kitu inaitwa kifunga uchumba(Engagement) kabisa kabla ya kwenda masomoni ili kuendelea nakulidumisha penzi la wawili hawa.
Sasa kazi iko kwa Lusanji.
Anajiuliza:Je,aingie katika hiyo strong commitment ama la?maana mazingira ya vyuo yanajulikana na hasa ukizingatia kuna aina tofauti ya watu atakao kutana nao mpenzi wake huko aendako ,kwaweza mbadilisha mawazo akajikuta kaachwa kwenye kona kali.
Je wewe unamshauri nini ?
Naomba kuwasilisha.
JESUS SAID
Turn to Matthew 5:27-30
27 Ye have heard that it was said by them of old time, Thou shalt not commit adultery:
28 But I say unto you, That whosoever looketh on a woman to lust after her hath committed adultery with her already in his heart.
29 And if thy right eye offend thee, pluck it out, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.
30 And if thy right hand offend thee, cut it off, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.
Sipo yaani ulivyoandika utafikiri yeye mchumbiaji hawezi kubadilika..... kha!!
Nimepitiwa mpenzi wanawake wanabadilika sana labda kuliko hata wanawake lakini mifano mingi ninayo ya wanawake. Na wanaume wakibadilika huwa hawaachi wachumba zao ila wanakuwa wanagonga tu kimya kimya
Nina experience moja hii hapa amabyo nilidondokea kwa mtoto wa Kinyamwezi wakati niko chuo
Unajua ilkuwaje siku moja alikuja rum kwangu block F mabibo kunitembelea, yeye alikuwa anaishi hapo hapo mabibo ila block A, tukapiga story sasa kwa wanaojua block F hakuna watu wengi sana, na rum kwangu nilikuwa na mshikaji mmoja tu ambaye yeye alikuwa ameenda kutembelea ndugu zake, siku hiyo ilikuwa weekend. Baada ya story kunoga msela nikatoa offer ya kwenda kula chakula cha mchana, sio mbali sana ni cafteria tu hapo nyuma then tukarudi tena room kwangu tukaendelea na story. Sasa mimi nilikuwa nimekaa kwenye kiti ye kakaa kitandani kidogo nikafanya kama nimekosea nikaamia pale kitandani, story zikaendelea kidogo nikawa kama nimekosea tena nikamgusa wakati tunapiga story akakaa kimya, nilimgusa paja halafu alikuwa amepiga khanga tu, duh! nikaona demu kakaa kimya kidogo tena katika kupiga story nikamchomekea kuwa nimempenda, duh kumbe ilikuwa kama kusukuma mlevi vile akakataa kizushi zushi pale
Katika kuendelea kuimbisha huku nagus mara mgongo mara kiuno mara nywele (ugonjwa wangu huo) eeh nikaona hajitingishi, aaah! kijana wa Kimaasai nikazama.....................nikaua tembo kwa ubua
Unajua baada ya mwezi wakati naatka kutangaza uchumba baadaa ya kunogewa na mambo ya Kinyamwezi ndio naambiwa nina mchumba wangu Nzega, Tabora na NAMPENDA SANA, na siwezi kumwacha wewe utaendelea kuwa na mimi wakati niko chuo labda yule kule nimfanyie visa aniache wewe ndio utanipata kwa ujumla
NB
MwanajamiiOne hii ilikuwa long time siku hizi nishakuwa kwahiyo isiwe sababu ya kutofikiria maombi yangu ya kuingia kwenye ufalme wa penzi lako mumy
Angalizo
Kwenye masomo nilikuwa nimetulia, haya mengine yalikuwa by the way tu kwahiyo wale wanaJF ambao ni wanafunzi wasiige sana na wakiiga wawe wajanja
ahahahahah wanatafunwa na meno kikweli nini???? hiyo mabibo siku nitkayokuja dar lazima niipitie kuiona tu!! very famous hapa JF...hivi wengi wenu mmepitia pale nini kutafuta vitafunio???? te te te te
...baadaa ya kunogewa na mambo ya Kinyamwezi ndio naambiwa nina mchumba wangu Nzega, Tabora na NAMPENDA SANA, na siwezi kumwacha wewe utaendelea kuwa na mimi wakati niko chuo labda yule kule nimfanyie visa aniache wewe ndio utanipata kwa ujumla
..... Pole Sipo ila nawe kwa nini ukaingia nyumba yawatu bila kuuliza kama kuna wenyewe? Sasa umenasa unaambulia maumivu lol
Haya mmasai wewe ndo ukamkosa hivyo mnyamwezi ( I hope hukuwa unamwambia--- tulia nini nahasungusa sungusa kiuno? kwani naumia?) si ajabu ndo mana kamganda wa Nzega wanayecheza ngoma moja lol (joke rafiki)
...duuuh, pole sana,
anyway...mwanamke anayejirahisi hivyo eti yu tayari kumfanyia visa mw'ume wake ili umchukue wewe, ni 'bomu' la kutega!