na cdm kwa ujumla wenu mnaogopa nini....mbona kila siku ni kuitaja ccm tu? mtu akitoa 2 mawazo yanayotofautiana na nyie basi ni ccm, akiuliza swali lenye changamoto basi ni ccm,asipoisifia cdm basi ni ccm n.k. mtoa mada na waliokusapoti kama mtakuwa na dini bila shaka mtakuwa na hofu na MUNGU, na kama ni hivyo basi mtakubaliana na ukweli kuwa wanaoongoza kutukana humu ni nyie (pitieni tu michano yenu!). ukiacha hiyo, kumtaja mtu haina maana ya kumuogopa au kama ni hivyo basi nanyi mnawaogopa watu kama nchemba: mbona kila mara mnamtaja?!! au kwa vile hamwogopi mbowe kama nyie? kama tz ingekuwa ni kili na arusha tu ningemwogopa sana huyo slaa wenu!