hofu na mashaka kwako wewe uliembali na macho yangu.............. umenukumbusha mbalisana...... UNAMAANISHA HUTAKI KIMPOTEZA????? na je yeye ame respond vip kulingana na situation iliyopo
Those same questions can be asked to u pia.
Usiencourage negative thoughts, kuwa na imani kuwa atakusubiri na mtakuwa pamoja; if she can't it is her loss, the same way ukishindwa wewe meaning u are not worth her love!
Yeye amesikitika mimi kwenda mbali, ingawa alikuwa akinipa moyo wa umuhimu wa kusoma zaidi
Trust me, ukienda huko UTAFUNGUKA UPEO!!!! Hata ukirudi mapenzi yatakuwa magumu. APANA CHEZEA LONG DISTANCE RELATIONS!!!!!!! Kwanza hata perception yako ya vitu vingi ukirudi itakuwa imebadilika!!!! Binafsi alieniacha akaenda huko 1st world IMEBAKI STORY TU.
Kwanini msifunge ndoa mkaenda naye.
Kw hiyo nianze tuu kujikatia tamaa au?
Hofu yote yanini?
Kama ana kupenda kweli bila shaka atakuvumilia na kukusubili.
Naamini unamjua vizuri zaidi yetu!
Hebu twambie kwanini una wasiwasi?