Hofu imezidi upande wa CCM

CCM ni mchezaji mzoefu, anajua namna ya kupiga magoli, ni mfano wa Ibrahimovic, yeye na nyavu ndiyo maisha yake.CCM na uchaguzi ndiyo maisha. Sasa hivi wako underground siku wakiibuka watakuwa wamemaliza ligi, watakuimbia kale kawimbo ka; CCM mbele kwa mbele
 
Tukutane October
 
Hawakutegemea mashambulizi ya upinzani yatakuwa hivi ,hawajui hii faida Yao ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kwa miaka mitano ,watulie tu dawa iingie na bado yapo mengu Sana ya kusema na CCM hawatakuwa na majibu kamwe.
 
ila mkuu elewa pia mahakama ja kijinai ipo so yote kwa yote kama busara haitatawala watu wajiandae vizur tu na mawakili wa kutosha tz sio kijiji na uchaguzi wa mwaka huu sio wa kitoto at maana wapinzani mwaka huu wanatafuna kila sehem na wamejipanga na kauli zao tu zinaonesha wajipanga sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…