Giningi hayo maneno nilo bold umeandika vizuri saana na uja chakachua
hivyo cha kuombea maji na kusoma intructions wamo...
Ni rahisi,,, fuata ushauri wa chapaa na utafanikiwa...
Karibu saana JF... na relax and be comfortable woote tulianza hatujui kuweka avatar..