Hodiiiiiiiiii

serious1

Member
Jul 5, 2011
40
10
Hii JF..nimekua nikifuatilia JF kwa muda mrefu bila kuwa na akaunt.

naomba kuingia kwenye jamii hii ya magreat thinkers.......

Binafsi nina tatizo ambalo muda si mrefu nitaliweka jamvini munipe ushauri na suluhisho la kudumu.

mubarikiwe sana
 
Karibu yakhe.............watumia tende au halwa,kuna ghahawa,tangawizi,chanabateta na supu ya pweza,UTAWEZA???
 
Aisee karibu sana...Keti kitini na ukitaka tende chukua lakini.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom