Elijah JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,663 Reaction score 424 Aug 18, 2012 #1 habari zenu Great thinkers?? Waama baada ya salamu,napenda kuomba kukaribishwa rasmi JF,home of great thinkers
habari zenu Great thinkers?? Waama baada ya salamu,napenda kuomba kukaribishwa rasmi JF,home of great thinkers
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,229 Aug 18, 2012 #2 karibu, begi weka nyuma ya mlango na vuta kigoda.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,460 Aug 18, 2012 #3 Wewe nae si ungesubiri eid ipite kwanza?........ndio nini kwenda kwa watu siku za sikukuu? Haya karibu ila usiingie ndani kwanza mpaka Katavi aje akuruhusu........hayo mabegi mpe Ulimakafu akusaidie kuweka ndani! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wewe nae si ungesubiri eid ipite kwanza?........ndio nini kwenda kwa watu siku za sikukuu? Haya karibu ila usiingie ndani kwanza mpaka Katavi aje akuruhusu........hayo mabegi mpe Ulimakafu akusaidie kuweka ndani!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Aug 18, 2012 #4 Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,460 Aug 18, 2012 #5 Katavi said: Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango. Click to expand... Afadhali umetokea manake mgeni kidogo aage lol........mpe maji tu!
Katavi said: Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango. Click to expand... Afadhali umetokea manake mgeni kidogo aage lol........mpe maji tu!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Aug 18, 2012 #6 sweetlady said: Afadhali umetokea manake mgeni kidogo aage lol........mpe maji tu! Click to expand... Amepoa sasa, hawezi kuaga hapa kafika...
sweetlady said: Afadhali umetokea manake mgeni kidogo aage lol........mpe maji tu! Click to expand... Amepoa sasa, hawezi kuaga hapa kafika...
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,460 Aug 18, 2012 #7 Katavi said: Amepoa sasa, hawezi kuaga hapa kafika... Click to expand... Ndio mana nikakuita chapu manake nakujua vile ulivyo mkarimu kwa wageni lol!
Katavi said: Amepoa sasa, hawezi kuaga hapa kafika... Click to expand... Ndio mana nikakuita chapu manake nakujua vile ulivyo mkarimu kwa wageni lol!
K kasiwani Member Joined Mar 4, 2012 Posts 25 Reaction score 2 Aug 19, 2012 #8 Katavi said: Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango. Click to expand... ukisikiaaaa kariiibuuuu ingiaaaaaaaaa......you are warmly welcome...... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Katavi said: Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango. Click to expand... ukisikiaaaa kariiibuuuu ingiaaaaaaaaa......you are warmly welcome......
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,166 Reaction score 2,697 Aug 20, 2012 #9 Karibu sana Mkubwa.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,677 Aug 21, 2012 #10 Karibu sana JF.
Nyunyu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2009 Posts 4,354 Reaction score 1,013 Aug 22, 2012 #11 karibu sana mkuu!