Halafu baadae!Kabila gani wewe?
Katokea Kibiti, Pia alishawahi kuishi Rufiji ila kwa sasa makazi yake ni pale IkwiririKabila gani wewe?
unamaanisha nini sasa?Mi mgeni sema nimecheleqa kujuintro. Cooperation plz
ngoja nisubiri atakachojibu hapa mkuu!!Halafu baadae!
Akamfanyie tambiko !!!!!!Halafu baadae!
Anatafuta laana tu.Akamfanyie tambiko !!!!!!
Hehe unahisi atakuja na povu!?ngoja nisubiri atakachojibu hapa mkuu!!
Wana lugha ngumu sanaKatokea Kibiti, Pia alishawahi kuishi Rufiji ila kwa sasa makazi yake ni pale Ikwiriri
Fanya basi hata ukamtembelee jioni moja hivi tulivu huko Ikwiriri Kibiti, hahahahaWana lugha ngumu sana
Hapana mkuu siendi huko ingawa mimi sio mwenyekitiFanya basi hata ukamtembelee jioni moja hivi tulivu huko Ikwiriri Kibiti, hahahaha
hahaha, wakikuona mgeni wanajua ni TISS au askari kanzu umekuja kupeleleza jioni wanalala na kichwa chako!! Ewe mwenyezi Mungu tunusuru na hayo mauaji ya kinyama.Hapana mkuu siendi huko ingawa mimi sio mwenyekiti
Swahiba ndiyo huyu nilibahatika kula naye ka dinner