Hodiiii

Hapana mkuu siendi huko ingawa mimi sio mwenyekiti
hahaha, wakikuona mgeni wanajua ni TISS au askari kanzu umekuja kupeleleza jioni wanalala na kichwa chako!! Ewe mwenyezi Mungu tunusuru na hayo mauaji ya kinyama.
 
Wewe ni he/she?

CC Bonny Daby mshana jr
Swahiba ndiyo huyu nilibahatika kula naye ka dinner
da6ebcfb927a7219040ae3337dccc799.jpg
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom