N NG'ONG'ONHWI Member Joined Sep 13, 2012 Posts 31 Reaction score 3 Sep 27, 2012 #1 Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,, pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI?? Ahsanteni.
Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,, pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI?? Ahsanteni.
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 935 Sep 27, 2012 #2 NG'ONG'ONHWI said: Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,, pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI?? Ahsanteni. Click to expand... ishia hapohapo, unataka kwenda wapi
NG'ONG'ONHWI said: Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,, pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI?? Ahsanteni. Click to expand... ishia hapohapo, unataka kwenda wapi
T Travez New Member Joined Sep 4, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Sep 27, 2012 #3 Karibu!... mlango muda wote unafungwa.
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Sep 27, 2012 #4 unaingia na kujua kwiiiingi. mlango haufungwi kinachofungwa ni kitasa au komeo.
S Shof Member Joined Sep 27, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Sep 27, 2012 #5 Mlango hufungwa wakati ukiwa wazi.
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Sep 27, 2012 #6 Simama usachiwe umebeba mabomu
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,841 Reaction score 2,132 Sep 27, 2012 #7 NG'ONG'ONHWI said: Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,, pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI?? Ahsanteni. Click to expand... Karibu sana mdau humu jamvini.Awali ya yote pita uwani upakuliwe pilau ili ushibe kabla ya kuanza kuingiza posts zako. Mlango hufungwa wakati wowote.
NG'ONG'ONHWI said: Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,, pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI?? Ahsanteni. Click to expand... Karibu sana mdau humu jamvini.Awali ya yote pita uwani upakuliwe pilau ili ushibe kabla ya kuanza kuingiza posts zako. Mlango hufungwa wakati wowote.
N NG'ONG'ONHWI Member Joined Sep 13, 2012 Posts 31 Reaction score 3 Oct 12, 2012 Thread starter #8 mkupuo ahsante kwa pilau lakini huwa situmii.umekosa mlango huwa haufungwi wakat wowote jarbu tena.
N NG'ONG'ONHWI Member Joined Sep 13, 2012 Posts 31 Reaction score 3 Oct 12, 2012 Thread starter #9 upo juu sana shof utanisaidia kuwaambia wadau wengine pia..kijiswal kdogoooo kama nini.
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Oct 12, 2012 #10 Shof said: Mlango hufungwa wakati ukiwa wazi. Click to expand... Yap! Ndio jibu bwana.