Sijaona sehemu inayosema natakiwa kuweka picha mkuuUtaratibu wa humu member mpya unatakiwa kuweka picha kwenye uzi huu wa kukaribishana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaruhusiwa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unachokitafuta utakipata
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshampata mkuu
Hahahaaa mgeni wetu bana mara hii ushajua neno mkuu, na emonji juuu iLa cyo mbaya hata huyo atapata tuu anacho kitafuta maana inaonekana mnajuana.Sawa mkuu
Karibu princess naomba niwe mwenyeji wako humu jukwaani pleaseHabari zenu Jf.
Asante"Never underestimate the power of prayer"!!
Karibu mpendwa!!!Jf kisima cha maarifa.
AsanteKaribu nandy
Asante, Karibu piaKaribu princess naomba niwe mwenyeji wako humu jukwaani please
Vipi jamii forum sasa waionaje..? ipo bomba au inamaruerue mengi.Asante