Hodii

Hodii

Karibu aisee..n.z.i wa mange kimambi wasikumbue..fukuza tu kwa mkono..
 
Karibu Achana na Hawa nyumbu.. Wana CCM wenzako Tupo wengi Sana kama wote vile.. Karibu
 
Mkuu umekopi username ambayo nilitaka kuitumia baada ya kuchukua kadi ya chama pendwa Jumatatu.
 
Rudi na I'd yako ileile mbona mnapenda kujiabisha wageni wenyeji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom