Kiwi JF-Expert Member Sep 30, 2009 1,054 990 Oct 1, 2009 #1 Hamjambo wanajamii? Nimefurahi kujiunga katika ukumbi huu wa Great Thinkers. Natumaini sote tutafaidika kwa michango mbalimbali. Nawatakia kila la heri kwenye kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.
Hamjambo wanajamii? Nimefurahi kujiunga katika ukumbi huu wa Great Thinkers. Natumaini sote tutafaidika kwa michango mbalimbali. Nawatakia kila la heri kwenye kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.
Kitia JF-Expert Member Dec 2, 2006 418 75 Oct 1, 2009 #2 Karibu sana Kiwi. Upo pande za New Zealand nini?
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,375 Oct 1, 2009 #3 karibu sana feel at home hapa ndani i salute nimepata kila nilichokua nahitaji kukifahamu ..
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Oct 30, 2009 #6 HOSEA SICHONE said: Hodi wanajamii, hamjambo? Click to expand... we HOSEA usitumie thread ya mwenzio kujitambulisha Anzisha ya kwako... Kweli Kuku mgeni hakosi kamba mguuni! Karibuni sana nyote
HOSEA SICHONE said: Hodi wanajamii, hamjambo? Click to expand... we HOSEA usitumie thread ya mwenzio kujitambulisha Anzisha ya kwako... Kweli Kuku mgeni hakosi kamba mguuni! Karibuni sana nyote