Hodihodi wenye mji.

Hodihodi wenye mji.

Haya karibu sana,but vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Karibu
1_liter_beer_boot_set_beerfest_das_boot.jpg
 
Habari ni zuri karibu sana hapa JF ya ukweli
 
Watu wa huu mji wakarim kwelkwel,ndg zang msnichoke nitakaa mpaka xmas ya 2015
 
Watu wa huu mji wakarim kwelkwel,ndg zang msnichoke nitakaa mpaka xmas ya 2015
Then utaenda wapi? Humu ni kwa kudumu...ukiingia hutoki hata km ulikwa unabeep
 
Nimeona ni vizuri nikaanza kwa adabu zaidi kwa kuomba ridhaa ya wenyeji wangu kifupi nyumbani hii nimeipenda na taendelea kuwepo mpaka mnichoke Tafadhali naomba kuwasilisha
 
Nimeona ni vizuri nikaanza kwa adabu zaidi kwa kuomba ridhaa ya wenyeji wangu kifupi nyumbani hii nimeipenda na taendelea kuwepo mpaka mnichoke Tafadhali naomba kuwasilisha

Karibu sana mkuu jisikie huru kuchangia mada mbalimbali humu ndani.
 
Back
Top Bottom