Nani huyo
Umpeleke segedance mwanaume mwenzio kwa kukusaidia kazi !?? utakuwa sio muungwana, muungwana ulitakiwa umshukuru sana
Ivi wewe na Madame B mumeishia wapi? au umeamua kumpiga kibuti eeeh
Alijifungua mtoto wa kike december 25, so sa hv yupo maternity leave mpaka march
Afu naskia umechoka mbaya dogo, afu eti ni kweli safari ya tanga imeanza kutoa uthibitisho wa kazi ya King Mswati VII Arushaone kwa Madame B ??? ni kweli kwamba bajeti ya ndimu na udongo wa pemba imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 170 ?? , je ni kweli kuwa harufu ya samaki wabichi imepigwa marufuku nyumbani kwako, lete majibu
We manoah Yaani mimi Madame B, nipigwe kibutiiiiiii.........!!!!!!!!!!!!!??????????
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuu.........................
Hapa Mume wangu Chimbuvu hapindui wala hageuzi, nimemkoleza na mambo ya Kimtandao wa Pwani.
Anakula anachotaka, Anazama na kuibukia popote pale penye uwazi.........
LOL......

Tobaaaa hapa nasikia harufu ya zambi
Jana usiku tulivoenda kulala pamoja kwani Uliziona sehemu ngapi zenye uwazi?
Maana jibu unalo.
Dhambi hizooo.............